Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

Nakubaliana na wewe.
 
Muungano Ufe Tanganyika idai uhuru wake kabla mkoloni kaburu mama iddy Amin dada wa Zanzibar hajawamaliza watanganyika kwa kafara kupitia utekaji wa Polisiccm
 
Mnajua kujifariji, yan Watu mnajitekenya na kujichekesha wenyewe!

Haya yetu macho mda utasema!
Social network compaign
 
Mkuu umefanya tathmini ya wapi?maana huku nilipo watu hawajui lolote ...kulikochangamka ni mitandaoni tu ambao hata 2% ya watanzania hawafiki...
Jidanganyeni hivyo hivyo, na muendelee kumdanganya Bi Mkubwa. Na hela zote mlizomwaga na kuendelea kumwaga, bado hamkubaliki. Wananchi wanataka mabadiliko ya kweli.
 
Za kazi maalum, tena zinaombwa na Katibu wake, means for personal use!
Bilion 15 kazi maalum wamegawana Amos makala Bulembo, Bashungwa, IGP na chawaccm huku Mbowe akiambulia chenji kuwauzia G55 kisha ibirisi ccm kuwasokomeza chaumaubwabwa Chaumaccm ikiwa ni muendelezo wa wizi wa pesa za walipa kodi
 
nadhani wewe ni GenZ hukuwepo enzi za Mrema mwaka 1995!
 
Acha uongo! Wewe unasema ulikuwa mwanza mimi ninaishi mwanza huku no reform ni ya moto mno
 
Jidanganyeni hivyo hivyo, na muendelee kumdanganya Bi Mkubwa. Na hela zote mlizomwaga na kuendelea kumwaga, bado hamkubaliki. Wananchi wanataka mabadiliko ya kweli.
Mateso manyanyaso uonevu kwa chadema ni fursa ya kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm Amos makala sasa ni Bilionea IGP na Bashungwa sasa ni mabilioni kwa mgongo wa chadema, kila wakiomba pesa kwa ajili ya kuihujumu kuudhofisha chadema huwa wanapewa haraka kisha wanagawana kienyeji, Uonevu kwa chadema ni kiwanda kwa watesi ibirisi wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…