AH forever
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 139
- 189
Hao wanachama wa CCM wanaoipenda na kuishabikia kwa maslahi binafsi ni nature ya wanasiasa maeneo mengi duniani. Usifikiri huko upinzani ndiko kuna wasafi na watakatifu saaana.Fan base ya CCM ni watu wanaoipenda na kuishabikia kimaslahi bibinafsi.
Watanzania tumeona na kushuhudia kuwa kuna wana siasa ambao wako tayari kupoteza walivyonavyo ili kututetea. hawana tamaa ya fedha na madaraka. Watu hao ni Chadema na wazee wachache wa CCM kina Warioba na Butiku.Hao wanachama wa CCM wanaoipenda na kuishabikia kwa maslahi binafsi ni nature ya wanasiasa maeneo mengi duniani. Usifikiri huko upinzani ndiko kuna wasafi na watakatifu saaana.
Ndio maana unaona vigogo wa upinzani,wanasaliti vyama vyao (tena wengine waanzilishi kabisa) kila siku na kuhamia kwingine kusaka malisho mapya.
Leo hii kwa mfano CM ikianguka,utashangaa hawa viongozi wa CCM wanaopondwa na upinzani ambao wanajifanya ni CCM kufa na kupona,utashangaa wanahamia chama hicho kipya tawala na kupewa nafasi za juu za uwaziri,ubunge,RC,DC,DED nk nk.
Na roho za matendo mabaya usifikiri wanazo CCM tu bali hata upinzani ukipewa nchi,usifikiri watakuwa malaika. Rejea baadhi ya nchi.
Hakuna kitu kinachokujaga kirahis hivyo kama unavyofikiria.Utakaa hadi uzeeke hutakaa uone hizo reform zakukuridhisha unavyotaka wewe ukiletewa na mshindani wako kirahisi rahisi tu kwakujiongelesha.CCM iko imara kivipi?
Wangekuwa imara wangekataa reforms?
Fan base ya CCM ni watu wanaoipenda na kuishabikia kimaslahi binafsi.
Hakuna binadamu ambaye yuko mahali bila kunufaika binafsi.Ata wewe unawaza kunufaika kwanza kwa mgongo wakujifanya unataka mabadiliko.Ndo maana agenda yenu kubwa ni Uchaguzi.CCM iko imara kivipi?
Wangekuwa imara wangekataa reforms?
Fan base ya CCM ni watu wanaoipenda na kuishabikia kimaslahi binafsi.
Ao Watu wenyewe waliokusababisha uwaone Watanzania wamepevuka kisiasa wako wapi ?Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.
Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.
#No Reforms No Election
Uko sahihi mkuu. Na ndicho nilichomjibuHakuna binadamu ambaye yuko mahali bila kunufaika binafsi.Ata wewe unawaza kunufaika kwanza kwa mgongo wakujifanya unataka mabadiliko.Ndo maana agenda yenu kubwa ni Uchaguzi.
Na anaedhani mtandaoni hakuna wapiga kura wasingezima baadhi ya mitandao hata FAM wapambe wake walijinasibu kua mitandaoni hakuna kura kilichowakuta hadi leo hawaamini macho yao na hawajaweza ku recover andelee kudharau multiplier effect ya mitandao nakusahau hawa wachache unaowaona hapa ndio baba,mama,kqka,dada,babu,bibi ,wajomba,shangazi wa hayo mamilioni ya Watanzania walioko groundKwa hiyo kielelezo cha Watanzania wenye smart phones na waliopo kwenye mitandao ya kijamii ni JF?
Kweli wewe ni ndaza
Hawana akili. Wanasema mitandaoni hakuna wapiga kura alafu hawataki kufanya reforms. Kama wanajiamini mitandaoni sio wapiga kura wafanye reforms za kweli kwenye Katiba na Sheria za Uchaguzi.Na anaedhani mtandaoni hakuna wapiga kura wasingezima baadhi ya mitandao hata FAM wapambe wake walijinasibu kua mitandaoni hakuna kura kilichowakuta hadi leo hawaamini macho yao na hawajaweza ku recover andelee kudharau multiplier effect ya mitandao nakusahau hawa wachache unaowaona hapa ndio baba,mama,kqka,dada,babu,bibi ,wajomba,shangazi wa hayo mamilioni ya Watanzania walioko ground
Unaugulia ukiwa wapi?Ao Watu wenyewe waliokusababisha uwaone Watanzania wamepevuka kisiasa wako wapi ?
Tuma picha nasisi tuone ?
kwaiyo nyomi ya Heche + Lisu Chadema leo
na RIP Edward Lowassa Chadema ipi kubwa Kwako tuanzie apo??
Na unadai unamiaka 47 manake umezaliwa 1977 -8 kwamaana arakati nyingi umeona na mashaka ichi ulichoandika kina Shabiaana na mwenye umri wa miaka 47 !!!
au leo Sikuu kuu ya Eid Umeleta UZI wenye lengo la Disko toto Watoto wafurahie !!
Kwa sheria hizi hizi alizopitisha Tulia na wabunge wanaotuona sisi kenge unategemea CCM washindwe uchaguzi? Kwa tume hii ya uchaguzi ya Ramadhani Mapuri na wenzake CCM washindwe uchaguzi? Chadema walishinda asilimia ngapi kwenye chaguzi za serikali za mitaa na vitongoji? Kushiriki na kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu huu ni kubariki ushindi wa kishindo wa CCM.Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.
Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.
#No Reforms No Election
Tuma picha wacha Utoto watu wanataka kuelewa ukweli wako??Unaugulia ukiwa wapi?
Kwa maneno yenu haya. Ndo mana Watanzania kwa pamoja tunasema No Reforms No ElectionLissu hatowahi kuwa Rais wa Nchi . Period
Sii kwa mlolongo huu.
Hata watokee wanachama wote wa CHADEMA wakampigia kura, hatoshinda na huo ndio ukweli.
Siasa zenu za kuwagawa watu hazitoshinda.
Uzeni sera.
100%Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.
Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.
#No Reforms No Election
Oneni mbwa hiiLissu hatowahi kuwa Rais wa Nchi . Period
Sii kwa mlolongo huu.
Hata watokee wanachama wote wa CHADEMA wakampigia kura, hatoshinda na huo ndio ukweli.
Siasa zenu za kuwagawa watu hazitoshinda.
Uzeni sera.