Kwa hali ilivyo, taifa linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu (dikteta), si mwenye kubembeleza

unahitaji dikteta kwa kuwa hali ya uchumi imekuwa mbaya! yaani ndio kusema kuwa suluhu ya matatizo yetu ni udikteta. unao ushahid wa nchi moja unayoifahamu ambayo ilitatua matatizo yake kwa mtindo huo
 
Ziko nchi nyingi tu zina mafanikio kwenye sekta nyingi na hawajawai hata kuwaza kua na kiongozi wa aina hiyo.Mambo yanatushinda kwasababu ya ujinga wetu sio zaidi ya hapo.
 
Huu ni ushuhuda toka kwa mzalendo mmoja.
 
Unaweza kuwa na uwekezaji mdogo kisha nchi ikanufaika na uwekezaji huo mdogo. Lakini unaweza kuwa na uwekezaji mkubwa wakanufaika wawekezaji peke yao. Mahali popote penye sera dhaifu za uwekezaji huvutia wawekezaji huku wakiwaona nyie wajinga tu.

Hata Manji alikuwa muwekezaji na alishapewa hadi magomeni cotaz na coco beach kwa miaka 99 bure.
 
Haipo hiyo ,Nimekupa mifano.Tofautisha bullying ya Mwendazake na kukusanya Kodi sasa ukiendelea na bullying utaishia kufilisika kama mwendo tuliokuwa nao..
 
Sasa ukipunguza watu Serekalini na kubana matumizi ya safari na Warsha,huo mzunguko wa pesa utakujaje huko mtaani, maana hadi Sasa jobless ni wengi alafu tena tupunguze Wafanyakazi!!? Hiki ndiyo kipind na wwe tafuta kamba yako ule kwa urefu wake!!!
 
Dikteita wa nini tena Mkuu?
Mbona haina matukio ya ajabu
 
Kazikwe nae Chato
Jiandikie ujinga hivyo hivyo!

Hii kauli ya kipumbavu ilitoka kwa kiongozi mpumbavu anayekudanganya maisha yalivyo ndo inavyotakiwa yawe huku yeye akiishi kwa raha akitumia mgao wa kodi yako ngoja siku utakayoshindwa kupata moja ya mahitaji yako ndo utajua hii slogan yenu inawandanganya.
 
Narudia tena kama ume miss yule Dikteta aliyeinajisi Tanzania kazikwe nae Chato
 
Frustration zako za maisha na familia usilete JF.
 
Mtafute dictator aongoze lile pagala lako ila SII nchi🤔
 
Frustration zako za maisha na familia usilete JF.
Wewe naweza kukuajili na familia na ukaishi vizuri kuliko Sasa,so kuwa na adabu, Sio wote walio jf niwaimba mapambio Ili matumbo yao yashibe, wengine wakiamuka nikuangalia maingizo ya siku iliyopita ,
Tz ukiwa na kampuni ajili wachumi uchwara wa hapa hutoboi
 
Kuna tatizo mahali.
 
Tatizo lenu wapenzi wa JPM ni roho mbaya na ukabila...mbona wakati wa JPM sukari ilifika 5000 na mlikuwa kimyaaaaaaaaaa....kama hampo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…