Kwa hali ilivyo, taifa linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu (dikteta), si mwenye kubembeleza

Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk.

Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa.

Au uwe na shughuli inayohitaji michango ya pesa.

Kwa mambo kama hayo ni wazi kwamba tulihitaji kiongozi mwenye mikakati ya namna sahihi ya kupunguza ukali wa maisha.

Mojawapo ni kuwabana wanaoitwa wawekezaji, walipe kodi na si kusamehewa. Kukusanya kodi kutoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,

Kupunguza baraza la mawaziri,

Kuondoa warsha na sherehe za kitaifa sisizo na umuhimu sana.

Badala ya kuwakusanya wakuu wa mikoa na watendaji wengine kwa ajili ya mafunzo, viandaliwe vipeperushi au video zenye maelekezo. Yote hii ni kubana matumizi. Ziara zipungue.

Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi wanakoelekea. Kila kukicha afadhali ya jana!
unahitaji dikteta kwa kuwa hali ya uchumi imekuwa mbaya! yaani ndio kusema kuwa suluhu ya matatizo yetu ni udikteta. unao ushahid wa nchi moja unayoifahamu ambayo ilitatua matatizo yake kwa mtindo huo
 
Ziko nchi nyingi tu zina mafanikio kwenye sekta nyingi na hawajawai hata kuwaza kua na kiongozi wa aina hiyo.Mambo yanatushinda kwasababu ya ujinga wetu sio zaidi ya hapo.
 
Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk.

Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa.

Au uwe na shughuli inayohitaji michango ya pesa.

Kwa mambo kama hayo ni wazi kwamba tulihitaji kiongozi mwenye mikakati ya namna sahihi ya kupunguza ukali wa maisha.

Mojawapo ni kuwabana wanaoitwa wawekezaji, walipe kodi na si kusamehewa. Kukusanya kodi kutoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,

Kupunguza baraza la mawaziri,

Kuondoa warsha na sherehe za kitaifa sisizo na umuhimu sana.

Badala ya kuwakusanya wakuu wa mikoa na watendaji wengine kwa ajili ya mafunzo, viandaliwe vipeperushi au video zenye maelekezo. Yote hii ni kubana matumizi. Ziara zipungue.

Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi wanakoelekea. Kila kukicha afadhali ya jana!
Huu ni ushuhuda toka kwa mzalendo mmoja.
 
Unambana mwenye hela harafu hizo pesa utazipaje?

Jiwe alifanya kilichotokea mizigo bandarini ilipungua,akaanza kupora pesa wafanyabiashara,walipakodi wakakimbia,mazao yakaanguka Bei kuanzia pamba hadi korosho hadi kuingiza jeshi,akanza kuwalipisha maskini vitambulisho vya machinga ,sukari ikaadimika,mamilopo ya Bei mbaya nk nk [emoji116]
Unaweza kuwa na uwekezaji mdogo kisha nchi ikanufaika na uwekezaji huo mdogo. Lakini unaweza kuwa na uwekezaji mkubwa wakanufaika wawekezaji peke yao. Mahali popote penye sera dhaifu za uwekezaji huvutia wawekezaji huku wakiwaona nyie wajinga tu.

Hata Manji alikuwa muwekezaji na alishapewa hadi magomeni cotaz na coco beach kwa miaka 99 bure.
 
Haipo hiyo ,Nimekupa mifano.Tofautisha bullying ya Mwendazake na kukusanya Kodi sasa ukiendelea na bullying utaishia kufilisika kama mwendo tuliokuwa nao..
 
Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk.

Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa.

Au uwe na shughuli inayohitaji michango ya pesa.

Kwa mambo kama hayo ni wazi kwamba tulihitaji kiongozi mwenye mikakati ya namna sahihi ya kupunguza ukali wa maisha.

Mojawapo ni kuwabana wanaoitwa wawekezaji, walipe kodi na si kusamehewa. Kukusanya kodi kutoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,

Kupunguza baraza la mawaziri,

Kuondoa warsha na sherehe za kitaifa sisizo na umuhimu sana.

Badala ya kuwakusanya wakuu wa mikoa na watendaji wengine kwa ajili ya mafunzo, viandaliwe vipeperushi au video zenye maelekezo. Yote hii ni kubana matumizi. Ziara zipungue.

Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi wanakoelekea. Kila kukicha afadhali ya jana!
Sasa ukipunguza watu Serekalini na kubana matumizi ya safari na Warsha,huo mzunguko wa pesa utakujaje huko mtaani, maana hadi Sasa jobless ni wengi alafu tena tupunguze Wafanyakazi!!? Hiki ndiyo kipind na wwe tafuta kamba yako ule kwa urefu wake!!!
 
Kazikwe nae Chato
Jiandikie ujinga hivyo hivyo!

Hii kauli ya kipumbavu ilitoka kwa kiongozi mpumbavu anayekudanganya maisha yalivyo ndo inavyotakiwa yawe huku yeye akiishi kwa raha akitumia mgao wa kodi yako ngoja siku utakayoshindwa kupata moja ya mahitaji yako ndo utajua hii slogan yenu inawandanganya.
 
Narudia tena kama ume miss yule Dikteta aliyeinajisi Tanzania kazikwe nae Chato
 
Nilishakataa maneno matam ya wachumi WETU Tz uchwara, wakati na mwanzo kabisa niliandika kujua sababu za vitu kuanza kupanda, ikiwemo vifaa vya ujenzi, wachumi uchwara wakanijazia inzi kwenye andiko lile, leo hii, mafuta yanapaa Kama parachuti hata hizo bil 100 zimemezwa,na WENDA hazijawekwa ilikua ni fix,au mchanga wa wacho.

Matozo utafikili ni Zama za kodi ya kichwa.

Leo Tz ni kipi kipo chini, ? Kuanzia matumizi ya nyumbani n.k?

Alisema Bwana mmoja akimsihi rais kwamba huku chini hawakuelewi ,akashambuliwa mpaka na baadhi ya mawaziri, ila alisema kweli.

Wachumi wa nchi hii hasa walio hapo juu , hamna kitu, tena Kama na wewe mchumi kwenda huko,hamna impact yoyote katika Taifa pamoja na vyeti vyenu.

Prof Kishimba ni mchumi haswa kuliko nyie mliojaza mavyeti au makaratasi , leo nakwambia mfano mh Kishimba,a.ka.prof Kishimba akiwa waziri hata wa fedha bila kujali elim yake Mtashangaa, maana anajua maana ya kucheza na pesa na maisha yanaenda vipi, nyie mnakalia angalia graph.

Hatuna wachumi Tanzania, so mtoa mada kaandika vizuri, sinaga muda wa mapambio.
Frustration zako za maisha na familia usilete JF.
 
Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk.

Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa.

Au uwe na shughuli inayohitaji michango ya pesa.

Kwa mambo kama hayo ni wazi kwamba tulihitaji kiongozi mwenye mikakati ya namna sahihi ya kupunguza ukali wa maisha.

Mojawapo ni kuwabana wanaoitwa wawekezaji, walipe kodi na si kusamehewa. Kukusanya kodi kutoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,

Kupunguza baraza la mawaziri,

Kuondoa warsha na sherehe za kitaifa sisizo na umuhimu sana.

Badala ya kuwakusanya wakuu wa mikoa na watendaji wengine kwa ajili ya mafunzo, viandaliwe vipeperushi au video zenye maelekezo. Yote hii ni kubana matumizi. Ziara zipungue.

Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi wanakoelekea. Kila kukicha afadhali ya jana!
Mtafute dictator aongoze lile pagala lako ila SII nchi🤔
 
Frustration zako za maisha na familia usilete JF.
Wewe naweza kukuajili na familia na ukaishi vizuri kuliko Sasa,so kuwa na adabu, Sio wote walio jf niwaimba mapambio Ili matumbo yao yashibe, wengine wakiamuka nikuangalia maingizo ya siku iliyopita ,
Tz ukiwa na kampuni ajili wachumi uchwara wa hapa hutoboi
 
Kuna tatizo mahali.
 
Nilishakataa maneno matam ya wachumi WETU Tz uchwara, wakati na mwanzo kabisa niliandika kujua sababu za vitu kuanza kupanda, ikiwemo vifaa vya ujenzi, wachumi uchwara wakanijazia inzi kwenye andiko lile, leo hii, mafuta yanapaa Kama parachuti hata hizo bil 100 zimemezwa,na WENDA hazijawekwa ilikua ni fix,au mchanga wa wacho.

Matozo utafikili ni Zama za kodi ya kichwa.

Leo Tz ni kipi kipo chini, ? Kuanzia matumizi ya nyumbani n.k?

Alisema Bwana mmoja akimsihi rais kwamba huku chini hawakuelewi ,akashambuliwa mpaka na baadhi ya mawaziri, ila alisema kweli.

Wachumi wa nchi hii hasa walio hapo juu , hamna kitu, tena Kama na wewe mchumi kwenda huko,hamna impact yoyote katika Taifa pamoja na vyeti vyenu.

Prof Kishimba ni mchumi haswa kuliko nyie mliojaza mavyeti au makaratasi , leo nakwambia mfano mh Kishimba,a.ka.prof Kishimba akiwa waziri hata wa fedha bila kujali elim yake Mtashangaa, maana anajua maana ya kucheza na pesa na maisha yanaenda vipi, nyie mnakalia angalia graph.

Hatuna wachumi Tanzania, so mtoa mada kaandika vizuri, sinaga muda wa mapambio.
Tatizo lenu wapenzi wa JPM ni roho mbaya na ukabila...mbona wakati wa JPM sukari ilifika 5000 na mlikuwa kimyaaaaaaaaaa....kama hampo
 
Back
Top Bottom