Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
[emoji14]Nshapima juzi mbona. Im clean my sister ( In nigerian accent ) [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji14]Nshapima juzi mbona. Im clean my sister ( In nigerian accent ) [emoji16]
unaona sasa kama ungeogopa saa hizi ungekuwa na maisha mengine lakini sasa upo sawa na pia ulijifunza kutokaza hovyoBaada ya condom kupasuka tukiwa tunagegedana nikamwambia tukapime akakubali alionyesha hofu lakn alijitahidi kuificha.
Tukaenda wote tulipopimwa tukatoka nje kusubiri majibu. Baada ya dakika 20 akaitwa na kuchukuliwa damu mara ya pili.
Muda wa kupewa majibu ukafika. Kweli bhana kumbe anaishi na maambukizi ya VVU.
Nikaeleza mbivu na mbichi nikapewa PEP. Nikazimeza kwa mwezi Mzima. Dawa zile ni kali mno, zinalevya mno na kuchosha. Ndoto za maruweruwe ya kutisha.
Nilipomaliza dawa nikaenda CTC pale Amana. Nikapima Nikaambiwa sina maambukizi. Nikakaa mwezi mmoja nikapima tena nikaambiwa sina.
Yule mwanamke huwezi kumdhania kabisa. Tena ni mnene na ana kalio la haja linaloweza kukudanganya. Kumbe ndani ameungua.
Hahahaaaa!Hahaaa. Sasa mkuu ameshaambiwa anao atafata nini tena hospitali.
Kweli!
Kweli kabisa hata mimi nilienda kupima mwezi uliopita yaani unaandkiwa kama vile unapima ugonjwa mafya tu na majibu yanakuja unapewa kama vile taarifa ya mapato na matumizi.Siku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekoma nimekoma nimekoma MUNGU anisaidie sitorudia tena kosa nililofanyaunaona sasa kama ungeogopa saa hizi ungekuwa na maisha mengine lakini sasa upo sawa na pia ulijifunza kutokaza hovyo
Ila mkuu kupima ni bora zaidi ujue.Hahahaaaa!
Anakuwa kakipata alichokuwa anakitafuta!
Hivi inakuwaje mwanamke kama anachukua ARV ni ngumu kumuambukiza mwanaume? na je hii ni hata mkifanya peku auHakuupata ugonjwa kwakuwa dada alikuwa kwenye tiba
Uko sahihi,hii nimekutana nayo mara kadhaa,madaktari wamekuwa wazembe sana siku hizi.Anakuuliza nikupime na HIV unamwambia pima anakuandikia kipimo anakuacha unasubiria majibu with no councelling,ni hatari sana kwa kweli.Siku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima
Sent using Jamii Forums mobile app
SureSio kupunguza bali ni kuacha kabisa huo uasherati kama unataka oa, au olewa tulien ndan
Hayo yashawah kunitokea.
Yan saiv naishi kama boya mtaani madada wananipapalikia ila hata hiyo ham sina
Pep Zinakera yan mdomo unakua haupati ladha kizunguzungu ndo usiseme
Halafu cha kushangaza docta alinambia hizo pep hazina tofauti na arv sasa nikawa nawaza mimi nimetumia mwezi tu nipo hoi vipi kwa hao wanaotumia maisha yao yote? Ukipata jibu hapo lazima jogoo alale hata kama mbele yako kapita chura
Asee mkuu sirudii tenaHayo yashawah kunitokea.
Yan saiv naishi kama boya mtaani madada wananipapalikia ila hata hiyo ham sina
Pep Zinakera yan mdomo unakua haupati ladha kizunguzungu ndo usiseme
Halafu cha kushangaza docta alinambia hizo pep hazina tofauti na arv sasa nikawa nawaza mimi nimetumia mwezi tu nipo hoi vipi kwa hao wanaotumia maisha yao yote? Ukipata jibu hapo lazima jogoo alale hata kama mbele yako kapita chura
WAKIAMUA WANAKUPIMA KWA ILE DAMU YA MALARIA MARA NYINGINE TUNAPIMWA BILA KUELEWA WANAJUA ALAMA KWENYE MACARD YALE HASA WAMAMA WAJAWAZITOKwa maelezo yako nimegundua hili tatizo bado lipo kwa speed kubwa ndo maana sasa hivi hata ukienda unakajipu dokta atakuandikia tu upime HIV.
-Ndumilakuwili-
We jamaa umeongea point tupu. Big upHuyo bwana alihitaji kupata ushauri wa wataalamu wa kisaikolojia baada ya kupima.
Kupima ni muhimu sana coz 'wale jamaa' wakigundulika mapema una nafasi ya kuwa control na ukaishi salama kwa miaka mingi tu.
Huyo aliyekwambia kuwa kutokuwa na vvu basi ndio tiketi ya kuendelea kuishi duniani kadri utakavyotamani ni nani?...bado kuna njia zaidi ya milioni za kuiaga dunia hata kama huna hao VVU.
Njia pekee ya kukwepa mauti ni kutokuwepo kabisa....ukiutaka uhai basi kubali kuwa utakufa tu siku moja, hata kwa kuchomwa bisibisi na teja linalokupora simu yako.
Kuna magonjwa yanatesa mpaka ungetamani tu bora uishi na hao vvu...muhumu upime ili uwa control, la sivyo wao wakianza kuku control ndio basi tena.
USIMFWATE MLETA MADA ANAFAA KUTIWA BAKORAUshauri mzuri
Shukran Mkuu.We jamaa umeongea point tupu. Big up
Sitaki tena sina hamu kabisaaahomgera sana mdau, ni mungu tu kakuepusha,yupo mmoja namfahamu ana mwili balaa na ana tako uspime lakin kaathirika, na hao nyeshi dalili ya kuumwa hilo gonjwa