Pre GE2025 Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini hakuna hata jimbo moja la uchaguzi nchini litaenda upinzani uchaguzi mkuu wa october 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%,

Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni zaidi ya 100%, na hiyo itamaanisha na kuashiria kwamba, CCM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.

Una maoni na mtazamo gani juu ya hili πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Jinga wewe! Majizi makubwa nyie! Na yule kenge wenu mwendazake!
 
Jinga wewe! Majizi makubwa nyie! Na yule kenge wenu mwendazake!
Relax gentleman,
ukweli ndivyo ulivyo, mchungu halafu unauma,

pole aise dah, lakini hakuna namna nyingine sasa ni lazma ukweli usemwe tu πŸ’
 
No reform no election
 
Una maanisha haina haja ya CCM kufanya kampeni, na mbinu mbalimbali za ushindi?.
hapo hakuna kumaanisha gentleman,
uhalisia mbona uko bayana kabisa ndugu zangu wadau?

jimbo gani kwa mfano litaenda upinzani?πŸ’
 
Mumeo ana shida kuwa na mwanamke wa aina yako....shubamiiit
 
Mumeo ana shida kuwa na mwanamke wa aina yako....shubamiiit
utafiti unaonyesha kwamba,
madeni ya kausha damu hufanya vijana wengi kua na mihemko na makasiriko ya kiwango kibaya sana nyakati hizi.

Pole gentleman πŸ’
 
Uchaguzi wa mitaa ambao wagombea hawana mshahara tumepigwa saana je wabunge wenye pesa lukuki vilema watakuwa wengi saana bora tuwaachie maccm yahangaike yenyewe
 
Uchaguzi wa mitaa ambao wagombea hawana mshahara tumepigwa saana je wabunge wenye pesa lukuki vilema watakuwa wengi saana bora tuwaachie maccm yahangaike yenyewe
Gentleman,
kumbuka,
uchaguzi mkuu ni October mwaka huu 2025,

ni hiyari ya mwenye sifa na vigezo vya kikatiba vya kuchagua au kuchaguliwa kushiriki uchaguzi mkuu huu muhimu na wa kihistoria Tanzania.

hapatakua na na kulazimishana πŸ’
 
Kinachoonekana dhahiri CCM imeamua kutumia magunia ya ndululu na imekwisha jihakikishia ushindi, mkono mtupu haulambwi na umasikini ni aghari.
 
CCM wapo bize kugawa kadi za kielektronik wakati wapinzani wao woo bize kutukana mitandaoni.. Wanawashindaje CCM..??
 
Upo sahihi

Kenya Development Budget of sh 4,791,772,950,556.28

Tanzania Development Budget of Sh 1,419,843,057,000
 
Kinachoonekana dhahiri CCM imeamua kutumia magunia ya ndululu na imekwisha jihakikishia ushindi, mkono mtupu haulambwi na umasikini ni aghari.
gentleman,
si kweli unapotosha,
CCM imefanya kazi na inaonekana,

huyo mpinzani amefanya nin hasa hata ashinde uchaguzi?

hukuna muujiza kwenye mambo haya ya mipango πŸ’
 
gentleman,
si kweli unapotosha,
CCM imefanya kazi na inaonekana,

huyo mpinzani amefanya nin hasa hata ashinde uchaguzi?

hukuna muujiza kwenye mambo haya ya mipango πŸ’
Kama unashindwa kuona jinsi pesa zinavyotumika kwa kuyalipa makundi ya vijana kwenye mikutano, basi wewe ni chawa mbobezi.
 
🀣 🀣 🀣 πŸ”Š
 
People must boycott such kind of threads, unachangiaje thread ya kipumbavu namna hii!
 
Kama unashindwa kuona jinsi pesa zinavyotumika kwa kuyalipa makundi ya vijana kwenye mikutano, basi wewe ni chawa mbobezi.
gentleman,
elections are most expensive processes in nature,
huna haja ya kubabaika na hilo gentleman utapasuka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…