Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Iphone mbona sio sim ya gharama kwa sasa laki3 4 au 5 unazipata used madukani. Pia kuna iphone feki siku hiziHi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa soloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.
Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Yaani sasa nikimwona mkaka ana iphone namwona kama shoga fulani hivi. Samahani.
Si used nyingi na zingine zimekosa soko huko nje , Musa wa matumizi umeisha wanaamua kuzitupia hukuMbona iphone bei ndogo siku hizi?
Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange.
.......?Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Vipi kakupa kwa Mparange baada ya kumuwezesha kumiliki simu ya ndoto yake?

Tafuta pesaHi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa soloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.
Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Yaani sasa nikimwona mkaka ana iphone namwona kama shoga fulani hivi. Samahani.
Tamaa mbaya.Kuna demu ana iphone kali kichizi halafu mimi nnakiswaswandu eti analia anadaiwa elfu 30 nimsaidie ajabu hata vocha iana anategemea nimpe nkatemana nae kumbe ndo katoka chuo siku si nyingi hayajui maisha ya kitaa