Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

Iphone mbona sio sim ya gharama kwa sasa laki3 4 au 5 unazipata used madukani. Pia kuna iphone feki siku hizi
Binafsi siwezi kabisa kutumia iphone sababu nahitaji uhuru
Hapo kwa uhuru tupo Pa1.
 
Kuna demu ana iphone kali kichizi halafu mimi nnakiswaswandu eti analia anadaiwa elfu 30 nimsaidie ajabu hata vocha iana anategemea nimpe nkatemana nae kumbe ndo katoka chuo siku si nyingi hayajui maisha ya kitaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakujiwekezaaaa?
 
Mi mwenyewe nikiona mwanaume ana iphone
Hasa Eleven sijui 13 daah namuonaga kama namna gani vipi[emoji23][emoji23]...
Mwanaume tumia samsung labda kama unapigiaga picha za biashara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mindset tyuuh.
 
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa soloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.
Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Yaani sasa nikimwona mkaka ana iphone namwona kama shoga fulani hivi. Samahani.
Yaani mim ninampango wa kumiliki simu ya battani
 
Ila we jamaa😂😂😂

Una viitakadi flani nahisi kwenu wanakukoma😂

Yaani unataka kulinganisha iphone 6 ya barmaid na 14 pro max? So unataka kila mtu atumie tecno au?
 
Unabahat umeomba msamaha ase, ila ndo ivo mkuu watu wamevurugwa
 
Umeelezea Ila miw nazama ndani kabisa ya mizizi ya ubongo ama asili ya ubongo wetu binadamu,najua we're always see outerface decision but there's always behind why reasons.

1-Adequacy (I’m not competent)
Hii adequacy pia ndo husababisha watu wanene kula kila mda. Sio kwamba wana njaa no, but they are trying to fill the emptiness in their soul.
2-Mattering (Value as a human being=material things)
3-Worth (I have to work hard or Idon’t deserve to own it).
Tukianza na 1 binadamu huwa anaji feel inadequacy ndani yake na ndio hapo huwa anatafuta kitu naye kimfanye aonekane Kama amekamilika ndani yake kinafsi ama kwa nje muonekano kwa wanyama wenzake.
Hapa ndio Mana mwenye nacho anaishi Kama Hana na asiye nacho anaishi Kama anacho.
Enzi zetu huko shuleni jamaa wanaofaulu wanaongea pumba ili wadharaulike mana wanajua Wanayo Ile external validation/value kuwa Yuko njema class. Ila kilaza atapangalia points kukiwa na mjadala fulani Ila bado watu watam crush mbaya.
Tajiri anavaa simple Mana hahitaji aonekane ama akubalike kwa muonekano yeye ndani yake anajua kuwa anakubalika ama ananikubali Mana goal lake kubwa lishatimia.
Kuna wamaza fulani ambao walikuwa ma Dr and professors pale udsm walikuwa wanavaa Kama mama zeetu wa kijijini nb remember professor salary is around 4M monthly. Unakuta ananyoa kawaida tu Kama mwanafunzi wa olevo,hahitaji kuvaa ama kujiweka ili ku draw big image kwa our mind Mana Tayari watu wanayo big image.
Na ndio Mana wahenga walisema debe tupu huvuma. Mtu anayejua kitu haongei Sana Ila aliyejaza kichwani social networks,Simba and yanga,ccm vs chadema ,namna ya kuchakata mbususu mpaka I vibrate anachonga mno huku Hana maarifa yyte. Na pia kiingereza alisema kuwa "going outside and buying expensive/rich cigarettes doesn't make me rich person.

2 na 3 ngoja niziache mwenye kujiongeza atajiongeza. Knowledge isn't for everybody.
 
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.

Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
...Kupanga ni Kuchagua...!
 
Hii adequacy pia ndo husababisha watu wanene kula kila mda. Sio kwamba wana njaa no, but they are trying to fill the emptiness in their soul.
Thank you nimeongea kisayansi naona na wewe umelileta kwa mtizamo wa ki spiritual Ila zote Ni sawa Ni just another way of perception of the context.

Sasa iyo empty soul wanayojisikia kuijaza huwa haijai mielele hata wafanyeje Mana hawawezi. Yaani kujitosheleza kwako kukiwa Ni nje ya wewe Basi utateseka na utakuwa mtumwa smt utakuwa unafanya vitu ili ukubalike kutafuta ku draw attention.
Sasa twende kazi baada ya muhtasari.
Moyo or soul huwezi ijaza na ndio Mana ukishanunia gari la mjapan itakuambia gari la mjerumani litakufanye uwe adequate na value yako itaongezeka kwa jamii na mademu na your peers watajigonga kwako kirahisi unazidi kuteseka ama kuhangaikia kujaza shimo ambalo halijai milele. Nakuhakikishia ukishaimiliki iyo utaanza kuwaona wanaomiliki private jet,cruise ships za ma Hooligans na ma Oligarchs wa kirashia utajiona wewe Ni mjinga mno na sio mwanaume hujakamilika. Hii chains Ni endelevu na Ni infinity Mana baada ya kuwa na private jet itataka ziwe mbili,tatu ............... Mpka Mia ili ujulikane dunia nzima na uheshimike. Yaani hapa unakuwa uko driven by ego and greedy. Mpaka siku usipoweza kunyanyua mguu ndio utaamka utaona kuwa ulikuwa unahangaika tu na dunia na anasa zake ambazo hazina faida kwa faida ya kiroho.
Wote hapa tumeshawahi kula mbususu jamani hata mie Nimekula za kirusi kabisa huko kwenye kivatra zao. Sasa baada ya kula Kuna Nini ten, yaani what then,what for,hata mwili umeshawahi kuwa nishawahi kula hizo mbususu na hazijaweka mark or scar yoyote kwangu. Hata ukienda viwanja vyote unavyojua hata Kama Ni Bahamas or Maldives ukafanyiwe masaje kwa kwa makalio ya watt wa kufiliipino ama Latino America nothing you'll gain yaani Ni pleasure na euphoria inayozalishwa na DOPAMINE sawa na mla cocaine,heroin,bangi ama whatever.

Iyo soul or moyo hautosheki mielele na hauchoki kutamani Kama vile;
Jicho halichoki kutazama ama kuona
Mdomo haijawahi choka kuongea.
Sikio halijawahi choka kusikiliza.
hasahasa umbeya ama story za mbususu linapenda mno.
Miguu never tired to walk.
Hands never tired to touch and handle things.
Moyo hujawahi choka sukuma damu.
Pua haijawahi vuta hewa ama nusa harufu,ngozi haijawahi choka kuhisi.
Hujawahi choka kuchakata mbususu.

Na Sasa shida ilivyo unavyozidi kuchakata mbususu kutembea,kuongea ,kusikiliza,kuwaza,kula, ama kutamani ndivyo hizo Mambo zinazidi yaani tamaa ya mbususu,food,umbeya,kutembea yaani unakomaa mno inazidi kuota mizizi na unakuwa kwenye ulevi fulani ama kuwa na addiction ambayo Ni endlessly.
Ukitoka tu kula mbususu unakutana na titi limechongoka ubongo inakuambia kuwa na hili linaishia mdomoni hebu sema nalo unaweza ukalinyonya.

Na ndio Mana inatakiwa elimu ya self actualization kuliko self image.

Ukiwa na iPhone 14max pro utaishi nayo baada ya mwaka utaiona ya kaiwada na ndio Mana unaambiwa Kuna nyingine Mana watu wapo gerezanj bila sisi kujitambua kuwa tupo gerezani jamani.

Maandiko yanaongea hichi kitu sema bana brain ya binadamu vi very peculiar.

Ukimiliki dola bilioni moja leo kesho ukiamka utajisikia mtupu kinafsi so utatamani uwe nazo Mia Kama buffet.

Tumeambiwa tuiishi leo ambayo inaitwa present Mana ndio tunayo na ndio Mana kesho hata mzungu anasema I will ama inshallah anything can happen out of our will. Kuna kitabu fulani Cha power of now Cha Williams Eckhart Tolle.

Thank you kwa kugusa hili suala.
 
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.

Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Kwahiyo umekuja kutupa taarifa kuwa umempa work mate wako laki unusu, wewe jamaa hatari sana
 
iphone kimuonekano inakuonesha na wewe hupo juu.ushawai kuona raisi katumia tecno
 
Back
Top Bottom