Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

Mwanaume mzima unafuatilia mambo ya watu. Huyu avae vile, anatakiwa amiliki kile.
Huo muda wa kufuatilia mambo ya watu unaupata wapi?
Mimi hata tukisalimiana na mtu halafu baada ya dakika 10 ukiniuliza umevaaje hata sikumbuki maana nina vitu vingi sana natakiwa kufanya.
Bado una mambo ya kiswahili sana mtoa uzi. Acha kufuatilia maisha ya watu, utaishi kwa amani na furaha sana. Unajaza hasira na uso kukakamaa kwasbb ya mambo ya watu.
Amiliki asimiliki iPhone. Imekusaidia nini katika maisha yako
una iPhone gani mkuu maana imekutauchi sana mada
 
una iPhone gani mkuu maana imekutauchi sana mada
Nina Tecno W3. Najua unavyopenda kufuatilia maisha ya watu utajiuliza anatumia Tecno W3?
Nyie ndiyo wale marafiki umepotezena naye miaka 4 au 10. Mnakutana anakuuliza
1. Unafanya kazi gani? Kazi yangu itakusaidia nini?
2. Umeoa? Subiri mpk mtu akuambie km ameoa na siyo kumuuliza.
 
acha panic
 
Mi mwenyewe nikiona mwanaume ana iphone
Hasa Eleven sijui 13 daah namuonaga kama namna gani vipi[emoji23][emoji23]...
Mwanaume tumia samsung labda kama unapigiaga picha za biashara
Hapo kwenye biashara nipo Samsung lakini naenda iPhone camera kali sana japo wengi wanaisifia Google pixel najiuliza haichuji baada ya muda fulani kweli?
 
Hapo kwenye biashara nipo Samsung lakini naenda iPhone camera kali sana japo wengi wanaisifia Google pixel najiuliza haichuji baada ya muda fulani kweli?
Sijajua (G- pixel)
Ila kwa iphone nilichogundua picha zinakua zina mvuto sana kuliko uhalisia
Kwahiyo kwa biashara inakua poa maana vitu vinavutia japo ulienda kuviona live utajiskia vibaya..
Samsung iko kwenye reality [emoji1787] ulivyo ndo utakavyotoka
Iphone wakiweka ule unjano unaona daah bidhaa si ndo hii
 
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.

Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Tabia za wanaume walolelewa na kulala mama zao toka miaka 0 hadi balehe
 
Hi gentlemen!
Hii kasi ya wadada wauza bar almaarufu barmaid, wadada wanaofanya kazi kwa Wahindi, wadada wanaofanya kazi za uwakala wa mitandao ya fedha, wadada wa saloon n k kumiliki simu za Iphone imekuwa kubwa sana.
Hizi simu za Iphone hapa Tanzania ni za wadada, hasa wale wanaopenda maisha ya kuigiza au kuiga.

Binti mmoja alikuwa field kazini kwetu, yaani kale kaposho kake kabana ili tu anunue iphone. Nilimuhurumia sana maana kwa hali ile akitokea mkaka amemwonyesha surprise hata ya Iphone 5, 6 au 7 atampa mpaka kwa mparange. Nikaamua nimpe free of charge 150000 aongezee atimize maono yake.
Ulitongoza kiutu uzima.
 
Huu uzi sio wa kistaarabu kabisa
Kila mtu ana haki ya kununua kitu roho yake inapenda. Usifikiri kuwa kwa kuwa wewe unachukia iPhone basi kila mtu atazichukia. iPhone na ushoga vinahusiana vipi?
Mimi sio iPhone user, ila naona kinachoendelea kwa Android users ni wivu na majungu juu ya iPhone users maana simu zao ni unique. Kuna watu wanatumia Samsung na ni mashoga. Kama umezipenda iPhone na unajiona huna hela ya kununua, kaa kimya tu na sio kuanza kuziponda na kujikosha mbele za watu ili wakuone eti hauzitamani. Mnataka kuforce iPhone users wajutie kununua simu zao ila mnashindwa.
Anyway, haya ni maneno ya mkosaji tu.
 
Kama kuna kaukweli flani hivi. Hiki nalo mkalitizame hahaha
 
Huu uzi sio wa kistaarabu kabisa
Kila mtu ana haki ya kununua kitu roho yake inapenda. Usifikiri kuwa kwa kuwa wewe unachukia iPhone basi kila mtu atazichukia. iPhone na ushoga vinahusiana vipi?
Mimi sio iPhone user, ila naona kinachoendelea kwetu Android users ni wivu na majungu juu ya iPhone users maana simu zao ni unique. Kuna watu wanatumia Samsung na ni mashoga. Kama umezipenda iPhone na unajiona huna hela ya kununua, kaa kimya tu na sio kuanza kuziponda na kujikosha mbele za watu ili wakuone eti hauzitamani. Mnataka kuforce iPhone users wajutie kununua simu zao ila mnashindwa.
Anyway, haya ni maneno ya mkosaji tu.
Kuna mwingine kashindwa kununua au kuimudu gharama ya iPhone anaponda

Kizuri watumiaji wa iPhone wapo kimyaaaa
Kizuri ni kizuri tu
 
Madem wa kibongo wako radhi walale chini lakini ilimradi awe na iphone

Ova
 
Back
Top Bottom