Kwa hapa Tanzania simu za Iphone ni za wasichana, tena waliotoka familia maskini

Mtoa mada ni mshamba sana![emoji276]brand ya simu inahusiana nini na tabia za mtu binafsi?,kwahiyo ukitumia infinix ndio unakuwa tajiri?
 
Sent from tecno pop 2
 
Kuna demu ana iphone kali kichizi halafu mimi nnakiswaswandu eti analia anadaiwa elfu 30 nimsaidie ajabu hata vocha iana anategemea nimpe nkatemana nae kumbe ndo katoka chuo siku si nyingi hayajui maisha ya kitaa
Atauza anunue infinix
 
Mawazo yako tu machafu wengine tunapewa zawadi
 
Nunua simu acha Roho ya wivu na umaskini
 
Umeelezea Ila miw nazama ndani kabisa ya mizizi ya ubongo ama asili ya ubongo wetu binadamu,najua we're always see outerface decision but there's always behind why reasons.

1-Adequacy (Iโ€™m not competent)
2-Mattering (Value as a human being=material things)
3-Worth (I have to work hard or Idonโ€™t deserve to own it).
Tukianza na 1 binadamu huwa anaji feel inadequacy ndani yake na ndio hapo huwa anatafuta kitu naye kimfanye aonekane Kama amekamilika ndani yake kinafsi ama kwa nje muonekano kwa wanyama wenzake.
Hapa ndio Mana mwenye nacho anaishi Kama Hana na asiye nacho anaishi Kama anacho.
Enzi zetu huko shuleni jamaa wanaofaulu wanaongea pumba ili wadharaulike mana wanajua Wanayo Ile external validation/value kuwa Yuko njema class. Ila kilaza atapangalia points kukiwa na mjadala fulani Ila bado watu watam crush mbaya.
Tajiri anavaa simple Mana hahitaji aonekane ama akubalike kwa muonekano yeye ndani yake anajua kuwa anakubalika ama ananikubali Mana goal lake kubwa lishatimia.
Kuna wamaza fulani ambao walikuwa ma Dr and professors pale udsm walikuwa wanavaa Kama mama zeetu wa kijijini nb remember professor salary is around 4M monthly. Unakuta ananyoa kawaida tu Kama mwanafunzi wa olevo,hahitaji kuvaa ama kujiweka ili ku draw big image kwa our mind Mana Tayari watu wanayo big image.
Na ndio Mana wahenga walisema debe tupu huvuma. Mtu anayejua kitu haongei Sana Ila aliyejaza kichwani social networks,Simba and yanga,ccm vs chadema ,namna ya kuchakata mbususu mpaka I vibrate anachonga mno huku Hana maarifa yyte. Na pia kiingereza alisema kuwa "going outside and buying expensive/rich cigarettes doesn't make me rich person.


2 na 3 ngoja niziache mwenye kujiongeza atajiongeza. Knowledge isn't for everybody.
 
Sasa we una tofauti gani na hao wanawake, maana unamfuatilia dada wa watu mpaka umekuja kumsema humu
 
Mkuu hiyo samahani ifute, uko sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ