matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #61
asante kwa tahadhari mkuu, tumejaribu kuviweka mbali baada ya kujua shida yake. Leo kafungua fridge, kabeba ile tray, kachukua maziwa ya pact akayamwaga mule ndani ya ile tray, akayachezea kisha kuja kuhamaki anaanza kuyakojolea, ndio kumuwahi.Angalia asije dondokewa na vitu vizito ikawa ni balaa nyumbani. Tahadhari kabla ya ajali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, asante kwa inputsHivyo hivyo nikuelimishwa kawe kanaombewa kakiwa tayari kwenye net, na sadaka kabisa unakatolea madhabahuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaa kweli kabisa mtu anatopoka kama kaopolewa kwenye kisima cha maji ya moto [emoji23][emoji23][emoji23]kweli mkuu, wengine nyuzi kama hizi ndio wanapata pa kupumulia stress za life
Usiku mwema, anza sahizi kukaombea hako kwa junior [emoji23]Kweli mkuu, asante kwa inputs
poa pouwa kamelala hoi, huwa kanalala hoi utadhani kanabeba zege.
mkuu mbona unakuwa nabii wa mabaya tena mkuu kama mwamposa.
Nimepata kesi nyingi ya vitoto vya umri huu hata huyu anaafadhali maana anapenda vitu vya umeme mdogo zaidi (electronics) hivyo vingine vya hatari hata time navyo
Nilitaka kusema hivi hivi ampeleke hospital wakamcheki sio kulaumu tu. Nilitaka kuuliza maswali kidogo kuhusu huyo mtoto ila nimehisi ana AUTISMAutism Spectrum Disorder (ASD) hiyo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Na huyo mtu awaoe hao walezi wote wawili.Kama miaka miwili tu anaweza kufanya uharibifu wote huo,basi huyo mtoto ana akili nyingi kuliko walezi wake.Tafuteni mtu awasaidie malezi.
Dah! Kama ungekua nchi za mabeberu ungefungwa jela mkuu🤣🤣🤣kuwa mlezi mkuu. mwanangu aliwahi nifanyia huu upuuzi wa soti, nilimdaka kwa sababu angetulia kichwa, nkamwambia hii sitaki nkaenda chukua fimbo, aisee alikula bakora za haja.
now wenzake wanamwambia njoo turuke soti, anasema baba hapendi atanichapa
Sent using Jamii Forums mobile app