matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #61
asante kwa tahadhari mkuu, tumejaribu kuviweka mbali baada ya kujua shida yake. Leo kafungua fridge, kabeba ile tray, kachukua maziwa ya pact akayamwaga mule ndani ya ile tray, akayachezea kisha kuja kuhamaki anaanza kuyakojolea, ndio kumuwahi.Angalia asije dondokewa na vitu vizito ikawa ni balaa nyumbani. Tahadhari kabla ya ajali
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mkijifanya bize hammjali dakikka chache tu anaharibu mambo.