Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
black sniper,
sawa mkuu nimechungulia kidogo nimepata mwanga ndarudi kusoma kwa kina.
Fimbo huondoa upumbavu, sasa nasita kukatia stick maana hakajajitambua vzr, ila mara moja moja anakula stiki moja.
Ila ukiacha fujo zake, akiwa nje ya maeneo ya home, yuko cool sana, anakuwa anaobserve tu, saana labda aone Baiskeli au Mpira ndio ataulilia kama wake
😂😂😂Mnaweka vitu hovyo mnamlaumu mtoto bure. Kwanini msivifungie chumbani kwenu, na muweke juu ya kabati refu au mmezaa TARZAN ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Junior noo junior noo[emoji28][emoji28]umesahau kumtaja jina mtoto junior
Uswahili huu mkuu.Basi tumeshajua kuwa una ma- laptop na ma- decoder... hongera yako mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaJunior noo junior noo[emoji28][emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Jikoni huwa anamuiga mama yake kupika chapati. Anachukua matope nje anaweka kwenye kochi na kopo anaanza kuzungusha. Ukimktaza anasema "Baba mimi pika papati".Mda si mrefu ataanza kuingia jikoni kupika na kupakua ila mara nyingi tabia za utundu hurithiwa kwa wazazi embu waulize wazee wako ulikuwaje wewe wakati mtoto
Ntamkazia kidogo Muda bado upo.