Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

Vitu Kama SOTI kwa mtoto wa kiume ni kawaida Sana, Hakuna ambaye hajapitia hiyo hatua. Ni ile kurithi matendo Mf. Kwa watoto wa kiume yeye anacheza na magari, ujenzi wa nyumba kwa kutumia miti, kupanga mawe au udongo, kucheza na bunduki za miti, kucheza mpira, kukimbiza berenge/tairi na kujipikilisha sio Sana. Mtoto wa kike atacheza Sana na kujipikilisha, kuogesha midoli ya watoto, kubumba watoto na kuwabeba mgongoni akiimba walale usingizi na huwezi kumkuta sanasana akikimbizana na mchezo wa bunduki au kuvuruta magari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka mpaka machozi kwa comments za watu humu
Mwanao anafanana kabisa na mwanangu but mwanangu Ana miaka mitatu now!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto kama wa kiume lazima anaitwa Junior, Collins,Prince

Na mengine ya namna hiyo!
 
poor parenting...
Hajui kulea huyo .Vitu Kama dawa,vitu vya thamani,vya hatari Kama sumu za panya,bastola nk unaelezwa wazi weka mbali na watoto wadogo.
Huyo.mzazi hajui kulea anajua tu kulalia mkewe na kuzaa
 
Mtie vikwenzi wewe watoto wanaelewa. Kuwa baba hataki mchezo ukicheka cheka anakudharau.
 
Utakuwa umechomekewa kaangalie Kama hakafanani na muuza genge au dereva bodaboda sio kwa ujinga huo
 
watu wengi wamemlaumu mleta mada, mimi nimewahi kuona mtoto mtundu , ni mtoto wa bro akija home atagusa kila kitu , bro alikua mkali ila alikishindwa ,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

mkuu, siku akikuulia kamoja usisite kuleta mrejesho (siombi iwe hivo)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…