Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

sio chai mkuu.
Dogo alikuwa mpole sana alivyokuwa mdogo. Tatizo vingi anafanya surprise. Anaweza kuongea neno ambalo hujui kajifunza lini na wapi.

Akiwa kwa watu wengi, haongei kabisa ananyonya vidole tu na kushangaa. Akifika home hata baada ya siku mbili anaanza kuongea vyote alivyokuwa anaviona.

anacheza na watoto wenzake washkaji wanamzidi kidogo na ni wasichana ila cha ajabu juzi anasema anaruka SOTI, na kasimama juu ya kochi anatanguliza kichwa aruke sarakasi. Sijuia kaona wapi, wakati TV tumeshampiga Ban,
Vitu Kama SOTI kwa mtoto wa kiume ni kawaida Sana, Hakuna ambaye hajapitia hiyo hatua. Ni ile kurithi matendo Mf. Kwa watoto wa kiume yeye anacheza na magari, ujenzi wa nyumba kwa kutumia miti, kupanga mawe au udongo, kucheza na bunduki za miti, kucheza mpira, kukimbiza berenge/tairi na kujipikilisha sio Sana. Mtoto wa kike atacheza Sana na kujipikilisha, kuogesha midoli ya watoto, kubumba watoto na kuwabeba mgongoni akiimba walale usingizi na huwezi kumkuta sanasana akikimbizana na mchezo wa bunduki au kuvuruta magari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka mpaka machozi kwa comments za watu humu
Mwanao anafanana kabisa na mwanangu but mwanangu Ana miaka mitatu now!!
poa pouwa kamelala hoi, huwa kanalala hoi utadhani kanabeba zege.
kakiamka asubhi kana ratiba zake za kudumu, kulilia uji, na kisha kukata gogo kwa poti, baada ya hapo kanaogeshwa kanaanza mihangaiko ya siku.

mimi sina shaka nako kabisa mkuu, ninaimani Mungu atakaweka sawa tu, maana nakakubali sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto kama wa kiume lazima anaitwa Junior, Collins,Prince

Na mengine ya namna hiyo!
 
poor parenting...
Hajui kulea huyo .Vitu Kama dawa,vitu vya thamani,vya hatari Kama sumu za panya,bastola nk unaelezwa wazi weka mbali na watoto wadogo.
Huyo.mzazi hajui kulea anajua tu kulalia mkewe na kuzaa
 
Mtie vikwenzi wewe watoto wanaelewa. Kuwa baba hataki mchezo ukicheka cheka anakudharau.
 
Utakuwa umechomekewa kaangalie Kama hakafanani na muuza genge au dereva bodaboda sio kwa ujinga huo
 
watu wengi wamemlaumu mleta mada, mimi nimewahi kuona mtoto mtundu , ni mtoto wa bro akija home atagusa kila kitu , bro alikua mkali ila alikishindwa ,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wife huwa anawacharaza watoto hadi nawaonea huruma...kiasi namgombeza

Lakini kimoyomoyo namshukuru kwa stick na banzi anazowalamba...maana hawachelewi kuwa mayai mayai kama hilo Toto lako

mtoto ukimdekeza naye anadeka.

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu, siku akikuulia kamoja usisite kuleta mrejesho (siombi iwe hivo)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom