Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Halafu ukute huyo mtoto sio wako ni wa kubambikiwa hasara mara mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu Kama SOTI kwa mtoto wa kiume ni kawaida Sana, Hakuna ambaye hajapitia hiyo hatua. Ni ile kurithi matendo Mf. Kwa watoto wa kiume yeye anacheza na magari, ujenzi wa nyumba kwa kutumia miti, kupanga mawe au udongo, kucheza na bunduki za miti, kucheza mpira, kukimbiza berenge/tairi na kujipikilisha sio Sana. Mtoto wa kike atacheza Sana na kujipikilisha, kuogesha midoli ya watoto, kubumba watoto na kuwabeba mgongoni akiimba walale usingizi na huwezi kumkuta sanasana akikimbizana na mchezo wa bunduki au kuvuruta magari.sio chai mkuu.
Dogo alikuwa mpole sana alivyokuwa mdogo. Tatizo vingi anafanya surprise. Anaweza kuongea neno ambalo hujui kajifunza lini na wapi.
Akiwa kwa watu wengi, haongei kabisa ananyonya vidole tu na kushangaa. Akifika home hata baada ya siku mbili anaanza kuongea vyote alivyokuwa anaviona.
anacheza na watoto wenzake washkaji wanamzidi kidogo na ni wasichana ila cha ajabu juzi anasema anaruka SOTI, na kasimama juu ya kochi anatanguliza kichwa aruke sarakasi. Sijuia kaona wapi, wakati TV tumeshampiga Ban,
poa pouwa kamelala hoi, huwa kanalala hoi utadhani kanabeba zege.
kakiamka asubhi kana ratiba zake za kudumu, kulilia uji, na kisha kukata gogo kwa poti, baada ya hapo kanaogeshwa kanaanza mihangaiko ya siku.
mimi sina shaka nako kabisa mkuu, ninaimani Mungu atakaweka sawa tu, maana nakakubali sana,
Chai hii tena ya motoHiyo kabati ina urefu/ ukubwa gani ambapo hata mtoto wa miaka miwili anaweza kupanda.
Hajui kulea huyo .Vitu Kama dawa,vitu vya thamani,vya hatari Kama sumu za panya,bastola nk unaelezwa wazi weka mbali na watoto wadogo.poor parenting...
Mnaweka vitu hovyo mnamlaumu mtoto bure. Kwanini msivifungie chumbani kwenu, na muweke juu ya kabati refu au mmezaa TARZAN ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chumbani hataingia wakifunguaMnaweka vitu hovyo mnamlaumu mtoto bure. Kwanini msivifungie chumbani kwenu, na muweke juu ya kabati refu au mmezaa TARZAN ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ajua hadi dakika bao Lake lilippoingia achilia mbali siku, mahala na kuwa tunafanana. Mkuu tulikapata Kwa timings Kali sana. HHalafu ukute huyo mtoto sio wako ni wa kubambikiwa hasara mara mbili
wife huwa anawacharaza watoto hadi nawaonea huruma...kiasi namgombeza
Lakini kimoyomoyo namshukuru kwa stick na banzi anazowalamba...maana hawachelewi kuwa mayai mayai kama hilo Toto lako
mtoto ukimdekeza naye anadeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ivi uyo mtoto ana umri gani??watu wengi wamemlaumu mleta mada, mimi nimewahi kuona mtoto mtundu , ni mtoto wa bro akija home atagusa kila kitu , bro alikua mkali ila alikishindwa ,
Sent from my iPhone using JamiiForums