Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

Wasio mtakia wema Tundu Lisu ni miongoni mwenu CHADEMA msitafute mchawi na ndio ukaona kundi fulani limejitenga, Lisu anatumika kwa vile wamumuona ana ukosefu fulani wa akili. Wapo watu ndio wanapalilia ili yakimkuta wao ndio wawe viongozi na ndio hao hao wanaojifanya watetezi wake wakubwa. Ndio hatari sana hawa mawakili hawa wanaojidai kumtetea ni watu wasio mtakia heri,
 
Umeonesha kiwango cha chini sana cha matumizi ya ubongo.
 
Kunawajinga wanafikiri TZ ni familia yao binafsi... Shida nininyi mnaomwita mama, mama!!
kwamba siruhusiwi kuwa na rafiki KUTOKA Kenya nk.?
Kwamba uongozi ukivunja haki usiambiwe?
Sherehe za uhuru mnaalika viongozi wa nchi za nje wanini?
Kwenye chaguzi mnaalika watazamaji Toka nje wanini?
Viongozi waache ujinga na ubinafsi...
 
Kaongea sahihi.Nyie kama mnadhani kua rais wa nchi ni kusikiliza na kuruhusu ujinga ujinga wawatu niambie nchi ambayo iko hivyo.Hakuna nchi ambayo watu wanaweza kujiamulia kufanya lolote.Na hakuna nchi ambayo haina kabisa vitendo viovu au matukio yakukandamizana au misuguano ya kisiasa.Kwahiyo alichokiongea yeye kama kiongozi wa nchi ni sahihi na ukiwa na akili timamu ujumbe unaeleweka.
 
Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"
Namwonea huruma sana
 
Kufuatilia kesi kuna hatari gani kwa Nchi? Wewe umewahi kwenda Mahakamani? Ushawahi zuiwa kwenda kufuatilia kesi Mahamani Nchi nyingine ukaambiwa kwa kua wewe sio raia marufuku kufuatilia hii kesi rudi kwenu?
 
Za mkizi
 
Anamkasilikia nani, hii ni Tanganyika akakasirikie kwao Kizimkazi asituchishe.
 
Jiwe yuko wapi?
Ulichoandika hapa ni hakina mantiki.Ina maana akija kiongozi wa upinzani yeye hata kufa?.Kufa nikwakila kiumbe hai.Kama kuna hoja za msingi tunaona haziko sawa tunatakiwa kuzipigia kelele ili zitengenezewe mazingira ya kujadiliwa ili tuwe tumefanya sehemu yetu kwasababu ata sisi tutapita siku isiyo na jina.Sasa kukalia kusema kua ata yeye atapita au flani yuko wapi hiyo haina maana kwasababu hata sisi tutapita.Na akipita huyo atakuja mwingine.Je tutapita tukiwa tumebadilisha nini kwenye jamii au tutakua ni kizazi kilichoishia kulalamika na kulaani mitandaoni.
 
Waweza tusaidia kufahamu, kama nchi tunanufaikaje tokana na uuzwaji wa bandari na ngorongoro? Na je kati ya lisu na hawa watawala waliozitoa hizo rasilimali sambamba na madini Kwa mikataba ya kificho, ni nani anastahili kuitwa msaliti?
Bandari imebinafsishwa kwa mwekezaji jinga ww!
 
Kuna muda Rais unatakiwa kuongea hivi kama Amir Jeshi siyo kuchekacheka na wapuuzi, madhara ya kuchekacheka dakika zote umesukumiwa hadi kwenye kona ya mwisho.
Tena huyu mama ni mpole sana.Waafrika ukiwapa sana uhuru lazima waharibu.Jiwe alijua hilo ndo maana akapiga pini mambo ya siasa za majukwaani na wote tulitulia.Wapinzani tulionao wao wanatafuta uhuru wao wapate madaraka hakuna ata mmoja mwenye kumfikiria mwananchi ndo maana wananchi tunasukumizwa tuone kama rais anakosea na nchi iko kwenye hatari kubwa kumbe ni kelele za wanasiasa na wanaharakati ambazo ziko dunia nzima.
 
Reactions: Tui
Haya tayari ni maelekezo kwa mahakama kutotenda haki kwa Lissu. Tunaomba jumuiya ya kimataifa iwapige pin ili liwe fundisho kwa wapuuzi wengine wanaosigina haki za raia.
 
Watu kama nyie ndiyo unasababisha tuonekane nyani
 
HONGERA SANA MH.RAIS ... WEWE NDIYE UMEPEWA MAMLAKA YA KULINDA TAIFA LETU,TUPO PAMOJA NA WEWE,TUIPENDA TANZANIA NA TUTAILINDA KWA GHARAMA YOYOTE ILE.
 
Reactions: Tui
Haya tayari ni maelekezo kwa mahakama kutotenda haki kwa Lissu. Tunaomba jumuiya ya kimataifa iwapige pin ili liwe fundisho kwa wapuuzi wengine wanaosigina haki za raia.
Wapi Mh.Rais ametamka mahakama, acheni kulialia kamanda.. Lissu yupo salama na kama atakutwa hamna hatia lazma atakua huru
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…