Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

Nonsense watu wanawazia kimataifa ratiba imetoka leo we unaleta story zako za August 13 kweli Morrison aliposema mrudi shule hakukosea.
 
Mtawasumbua kina nani? Yaani huyo Joyce asiyeweza kupiga mpira mbele!?
 

Upumbavu nao ni kipaji
 
Wewe mkuu tulia tuliii,,,acha waendelee kujimwambafai kuwa wao ni bora baada ya kuwafunga wale wahabeshi,,tutawaonyesha kuwa wanayo kazi ya kufanya kuufikia ubora wa yanga
 
Mawazo ya utopolo muda wote wao kumfunga Simba wakati mawazo ya Simba now days ni kufanya vizuri kimataifa kucheza group stage caf champions na kuendelea yaan mtu unapoteza muda wako kumuwaza na kumfikiria mtu lakini mwenzako hakuwazi yeye anafikiria mtu mwingine tukisema mashabiki wa Yanga hamna uwezo wa kufikiri tunakosea?
Kweli mzungu pori hakukosea kusema kuwa ukimtoa kikwete na baba yake mashabiki wa Yanga wote waliobaki hawana akili
 
Yani malengo yenu yatulize sisi!?????mkuu una akili timamu kweli au kichwani kuna shida??KILA MTU AFANYE MAMBO YAKE
 
Nayafuta maneno yako kwa damu ya Yesu michezo ni furaha kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…