Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtawasumbua kina nani? Yaani huyo Joyce asiyeweza kupiga mpira mbele!?ilikua bonanza tu..subirini na hata 13/8 bado...chochote chaweza tokea ila mchezo mzuri utakua kuanzia ule wa octoba 23...kiukweli bado fitness na kuzoeana bado kwa timu zote ila yanga hii aisee tutawasumbua saaaaana!
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa wanyonge vichochoroni. Yaani mtanyongeka kinyama. Siyo kidogo.
Yanga tunaanza kwa mbwembwe. Tunachukua ngao ya jamii. Then tunaanza kukaa pale juu kileleni kwenye ligi. Kwa kushinda match ya kwanza bao za kutosha tu. Hapo ndo msahau. Simba na azam mtagombea nafasi ya pili.... Hamna chenu tena mwaka huu. Hii team ina mikakati ya hali ya juu sana . Nasema nyie acheni tu mtanyongeka kinyama... Ndo mjue hili ni bonge la team. Na mtaumia kinyama maana tunapiga mguu ndani tunapiga mguu nje. Yaani ni mwendo wa kusambaza vipigo tu.
Nasema hivi kama tarehe 13/08 tusipomfunga simba nipewe ban ya siku 7.
Manara anacheza namba ngapi uwanjani?Bahati mbaya mmeanza msimu vibaya tayari. Bila Manara, Yanga si lolote. Manara hoyeee!
Wewe mkuu tulia tuliii,,,acha waendelee kujimwambafai kuwa wao ni bora baada ya kuwafunga wale wahabeshi,,tutawaonyesha kuwa wanayo kazi ya kufanya kuufikia ubora wa yangaSimba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa wanyonge vichochoroni. Yaani mtanyongeka kinyama. Siyo kidogo.
Yanga tunaanza kwa mbwembwe. Tunachukua ngao ya jamii. Then tunaanza kukaa pale juu kileleni kwenye ligi. Kwa kushinda match ya kwanza bao za kutosha tu. Hapo ndo msahau. Simba na azam mtagombea nafasi ya pili.... Hamna chenu tena mwaka huu. Hii team ina mikakati ya hali ya juu sana . Nasema nyie acheni tu mtanyongeka kinyama... Ndo mjue hili ni bonge la team. Na mtaumia kinyama maana tunapiga mguu ndani tunapiga mguu nje. Yaani ni mwendo wa kusambaza vipigo tu.
Nasema hivi kama tarehe 13/08 tusipomfunga simba nipewe ban ya siku 7.
Leo Simba anapigwa iwe ISIWE. YAANI KUFUNGWA NI LAZIMA
🤣🤣🤣🤣🤣 Yanga 2 Simba 1. Una jingine?Toa matokeo sasa
🤣🤣🤣🤣🤣 Uwekwe Dodoma na pale PostaMkuu ujengewe mnara. Watalia sana
Toa matokeo sasa
Nayafuta maneno yako kwa damu ya Yesu michezo ni furaha kwa woteSimba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa wanyonge vichochoroni. Yaani mtanyongeka kinyama. Siyo kidogo.