Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
CCM Tupo makini kweli na enemies from within na ndio utaona reshuffle haziishi, and very soon ccm itajivua gamba,wale wote ambao wapo kinyume na itikadi ya chama chetu tutawaondoa,una dukuduku lilete ndani ya vibao vyetu vya kichama, na si kuropoka maredioni,kwani chama chetu ni chama chenye mifumo yake na ipo wazi ndani ya katiba ya chama chetu.No, ni ENEMIES from WITHIN ndo wataiua CCM, ni kanuni ya Uasi ilivyo.
Usisahau chama chakavu kina LAANA ya muasisi wake.
Pia alisema upinzani wa kweli utatoka ccm.We differ in I. Q. you had been measured! Earlier,
"Hukumbuki pia Aliwahi sema haoni chama kingine zaidi ya ccm "
Ni Kweli yamekuwepo mabadiliko makubwa sana Kila chaguzi za chama zinapofanyika, mf wabunge zaidi ya nusu Huwa hawarudi tena bungeni.CCM Tupo makini kweli na enemies from within na ndio utaona reshuffle haziishi, and very soon ccm itajivua gamba,wale wote ambao wapo kinyume na itikadi ya chama chetu tutawaondoa,una dukuduku lilete ndani ya vibao vyetu vya kichama, na si kuropoka maredioni,kwani chama chetu ni chama chenye mifumo yake na ipo wazi ndani ya katiba ya chama chetu.
Ikumbukwe kiongozi wa kwanza kabisa unatakiwa umuone ukiwa na jambo huko mtaani kwako ni MJUMBE ambao karibu wote kama sio wote ni makada wa CCM watiifu. Ukitaka kufungua bank account au ukitaka passport lazima uwe na barua ya huyu kiongozi wa CCM. Kinachoweza kuitoa CCM madarakani ni CCM yenyewe endapo kutatokea mpasuko. Kuhusu mpasuko pia ni kitu kigumu mno kutokea maana kwa siasa za Afrika kikiingia chama kingine madarakani kitakachofuata ni maumivu makubwa sana kwa uongozi uliotolewa madarakani. Na hili kila kada mwandamizi analifahamu kwahiyo unapofika uchaguzi CCM huungana na kuwa kitu kimoja hadi washinde uchaguzi.Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.
Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?
Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.
Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?
"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"
" Ahsanteni sana"
Ni jukumu sasa la wapokea rushwa kugoma kupokea rushwa hizo, kwa sababu rushwa hizo ndizo zinazokuja sababisha kuingiza watu wasiofaa wanaokuja kuwaumiza wao wenyewe kwa sent kiduchu walichopokea, "watafakari unahongwa 50,000/- inayokuja kukugharimu kwa miaka 5 " reason behind mlishamalizana.Ni Kweli yamekuwepo mabadiliko makubwa sana Kila chaguzi za chama zinapofanyika, mf wabunge zaidi ya nusu Huwa hawarudi tena bungeni.
Kitu pekee Cha msingi CCM walichoshindwa kujiondoa ni RUSHWA ndani ya Chaguzi.
HAKI hainuniliwi na haitanunuliwa, ktk chaguzi zenu mnagawana RUSHWA waziwazi.
Kwa Hilo pekee CCM must die.
Mlipokosea mahesabu mwaka 2015 ndo imeshaisha. Mlicheza ngoma ya CCM bila kujua. Mngemweka Dr Slaa kuwa mgombea msingeshinda lakini mngeendelea kuaminika. Ina maana chaguzi zingine mngezidi kuimarika zaidi. Tamaa za mmiliki wa chama chenu zikawaponza na ikawa nafasi adhimu ya CCM kuwawekea mgombea. Mkakosa urais na kupoteza imani yote kwa wananchi. Sasa hivi mnarukia kila agenda. Kwa mfano majuzi mnalilia kwanini PM na VP hawajaenda kwenye tukio la kujaza maji bwawa la NyerereHata nisipoitoa mimi, wajukuu zangu watakuja kuitoa. Ni suala tu la muda.
Kwamba tukomeshe UKAHABA ndani ya chama Kwa kuwambia Malaya wakatae offer za bia na nyama choma sio!!!!Ni jukumu sasa la wapokea rushwa kugoma kupokea rushwa hizo, kwa sababu rushwa hizo ndizo zinazokuja sababisha kuingiza watu wasiofaa wanaokuja kuwaumiza wao wenyewe kwa sent kiduchu walichopokea, "watafakari unahongwa 50,000/- inayokuja kukugharimu kwa miaka 5 " reason behind mlishamalizana.
U may be right ,Suala sio kutoka madarkani
ccm kama ccm inaweza kutolewa madarakani
Issues ni kuwa hata ikitoka mifumo na desturi za utendaji ndio tatizo
Kama mifumo hiyo itaendelea na ccm nayo itakuwa madarakani katika ngozi mpya au dera mpya na chupi ya zamani
Time frame yako inaweza isiwe sahihi Sana, lkn nakubaliana na wewe kwamba ccm itaanguka siku mojaCCM wameuacha msingi huo, amini usiamini baada ya 2026 sahau kuhusu CCM, bt TANZANIA itaneemeka na maziwa na asali vitapatikana hapa.
Kwani ni mbali sasa siku yenyewe ni 2023!Siku ikifika ya kutoka watatoka tu madarakani, na miongoni mwa wale watakaochangia kuiondoa CCM madarakani ni hao hao walioko huko vyuoni na jeshi la polisi.
Sio wote wanaoridhishwa na utawala wa CCM kama unavyodhani, wengi wanavumilia tu maumivu wakisubiri siku ya kuliamsha ifike, kwani kiuhalisia wanaofaidi kwa maslahi ya CCM ni kikundi kidogo sana cha watu, sio hao wote uliowataja.
Umenena !Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.
Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?
Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.
Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?
"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"
" Ahsanteni sana"
Oyeeeee.sahauni ccm oyeeeee....wale tunao amini hawa vijana wavaa vinjunga hawawezi kuitoa ccm madarakani tuseme ccm oyeeeee..
Hakuna anayesema kwamba itabaki milele kama Mungu, tunajua kila kitu kitafika mwisho.Ni mjinga tu asiyejua history ya tawala za dunia ndio anaedhani CCM haitatoka.
Kwa tunaosoma alama za nyakati,CCM haifiki ata mwaka 2035
Jiweke wazi tu kwamba wewe ni mwanaccmNdiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.
Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?
Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.
Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?
"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"
" Ahsanteni sana"
Yes,but Mwalimu alikua mtu mwenye kuisimamia itikadi yake,hata kwa matendo wengine wanasimamia matumbo yao na vizazi vyaoo .Mwl. Alikuwa mwanasiasa pia, ogopa Wanasiasa,wana kauli za mitego na kiudadisi,mwanasiasa anaweza kuzungumza jambo la kukufurahisha kukupima au kuichezea akili yako.
Sentence hyo moja inaongelea wakati,..."ccm si mama yangu "inaongelea nyakati zote kiitikadi .We differ in I. Q. you had been measured! Earlier,
"Hukumbuki pia Aliwahi sema haoni chama kingine zaidi ya ccm "
Hakuna lenye mwanzo, likakosa kuwa na mwisho! Hakuna Dola ilikuwa na nguvu hapo zamani kama Dola ya Kirumi! Lakini muda wake wa kuanguka ulipofika, ilianguka kifo cha mende! Sembuse ccm!
It is just the matter of time.
Shkamoo TateHakuna lenye mwanzo, likakosa kuwa na mwisho! Hakuna Dola ilikuwa na nguvu hapo zamani kama Dola ya Kirumi! Lakini muda wake wa kuanguka ulipofika, ilianguka kifo cha mende! Sembuse ccm!
It is just the matter of time.