Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

No, ni ENEMIES from WITHIN ndo wataiua CCM, ni kanuni ya Uasi ilivyo.

Usisahau chama chakavu kina LAANA ya muasisi wake.
CCM Tupo makini kweli na enemies from within na ndio utaona reshuffle haziishi, and very soon ccm itajivua gamba,wale wote ambao wapo kinyume na itikadi ya chama chetu tutawaondoa,una dukuduku lilete ndani ya vibao vyetu vya kichama, na si kuropoka maredioni,kwani chama chetu ni chama chenye mifumo yake na ipo wazi ndani ya katiba ya chama chetu.
 
We differ in I. Q. you had been measured! Earlier,
"Hukumbuki pia Aliwahi sema haoni chama kingine zaidi ya ccm "
Pia alisema upinzani wa kweli utatoka ccm.
Hao wapinzani unaowaona sasa walitoka ccm,na wengine wengi watajiunga na upinzani.
Ni suala la mda tu
 
CCM Tupo makini kweli na enemies from within na ndio utaona reshuffle haziishi, and very soon ccm itajivua gamba,wale wote ambao wapo kinyume na itikadi ya chama chetu tutawaondoa,una dukuduku lilete ndani ya vibao vyetu vya kichama, na si kuropoka maredioni,kwani chama chetu ni chama chenye mifumo yake na ipo wazi ndani ya katiba ya chama chetu.
Ni Kweli yamekuwepo mabadiliko makubwa sana Kila chaguzi za chama zinapofanyika, mf wabunge zaidi ya nusu Huwa hawarudi tena bungeni.

Kitu pekee Cha msingi CCM walichoshindwa kujiondoa ni RUSHWA ndani ya Chaguzi.

HAKI hainuniliwi na haitanunuliwa, ktk chaguzi zenu mnagawana RUSHWA waziwazi.

Kwa Hilo pekee CCM must die.
 
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.

Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?

Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.

Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?

"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"

" Ahsanteni sana"
Ikumbukwe kiongozi wa kwanza kabisa unatakiwa umuone ukiwa na jambo huko mtaani kwako ni MJUMBE ambao karibu wote kama sio wote ni makada wa CCM watiifu. Ukitaka kufungua bank account au ukitaka passport lazima uwe na barua ya huyu kiongozi wa CCM. Kinachoweza kuitoa CCM madarakani ni CCM yenyewe endapo kutatokea mpasuko. Kuhusu mpasuko pia ni kitu kigumu mno kutokea maana kwa siasa za Afrika kikiingia chama kingine madarakani kitakachofuata ni maumivu makubwa sana kwa uongozi uliotolewa madarakani. Na hili kila kada mwandamizi analifahamu kwahiyo unapofika uchaguzi CCM huungana na kuwa kitu kimoja hadi washinde uchaguzi.
 
Ni Kweli yamekuwepo mabadiliko makubwa sana Kila chaguzi za chama zinapofanyika, mf wabunge zaidi ya nusu Huwa hawarudi tena bungeni.

Kitu pekee Cha msingi CCM walichoshindwa kujiondoa ni RUSHWA ndani ya Chaguzi.

HAKI hainuniliwi na haitanunuliwa, ktk chaguzi zenu mnagawana RUSHWA waziwazi.

Kwa Hilo pekee CCM must die.
Ni jukumu sasa la wapokea rushwa kugoma kupokea rushwa hizo, kwa sababu rushwa hizo ndizo zinazokuja sababisha kuingiza watu wasiofaa wanaokuja kuwaumiza wao wenyewe kwa sent kiduchu walichopokea, "watafakari unahongwa 50,000/- inayokuja kukugharimu kwa miaka 5 " reason behind mlishamalizana.
 
Hata nisipoitoa mimi, wajukuu zangu watakuja kuitoa. Ni suala tu la muda.
Mlipokosea mahesabu mwaka 2015 ndo imeshaisha. Mlicheza ngoma ya CCM bila kujua. Mngemweka Dr Slaa kuwa mgombea msingeshinda lakini mngeendelea kuaminika. Ina maana chaguzi zingine mngezidi kuimarika zaidi. Tamaa za mmiliki wa chama chenu zikawaponza na ikawa nafasi adhimu ya CCM kuwawekea mgombea. Mkakosa urais na kupoteza imani yote kwa wananchi. Sasa hivi mnarukia kila agenda. Kwa mfano majuzi mnalilia kwanini PM na VP hawajaenda kwenye tukio la kujaza maji bwawa la Nyerere
 
Ni jukumu sasa la wapokea rushwa kugoma kupokea rushwa hizo, kwa sababu rushwa hizo ndizo zinazokuja sababisha kuingiza watu wasiofaa wanaokuja kuwaumiza wao wenyewe kwa sent kiduchu walichopokea, "watafakari unahongwa 50,000/- inayokuja kukugharimu kwa miaka 5 " reason behind mlishamalizana.
Kwamba tukomeshe UKAHABA ndani ya chama Kwa kuwambia Malaya wakatae offer za bia na nyama choma sio!!!!

Wakati huo huo tuwaache HURU wanunua MALAYA😃😃😃.

Nani amewahi kujiuliza kipi ni chanzo Cha KIU ya UZINZI na kutafuta njia za kuukomesha UOVU huo?

Tutarudi tulipoanzia very soon.
 
Suala sio kutoka madarkani
ccm kama ccm inaweza kutolewa madarakani

Issues ni kuwa hata ikitoka mifumo na desturi za utendaji ndio tatizo
Kama mifumo hiyo itaendelea na ccm nayo itakuwa madarakani katika ngozi mpya au dera mpya na chupi ya zamani
U may be right ,

Bt pia kumbuka pia wananchi watapopata HAKI ya kubadili vyama ktk Kutoa Marais wa Nchi,

Maendeleo yataonekana Kwa haraka zaidi kuliko kukiacha chama muda mrefu Hadi kudhani wao ni MAMA zetu Eti hawana mbadala😠😠
 
CCM wameuacha msingi huo, amini usiamini baada ya 2026 sahau kuhusu CCM, bt TANZANIA itaneemeka na maziwa na asali vitapatikana hapa.
Time frame yako inaweza isiwe sahihi Sana, lkn nakubaliana na wewe kwamba ccm itaanguka siku moja
 
Siku ikifika ya kutoka watatoka tu madarakani, na miongoni mwa wale watakaochangia kuiondoa CCM madarakani ni hao hao walioko huko vyuoni na jeshi la polisi.

Sio wote wanaoridhishwa na utawala wa CCM kama unavyodhani, wengi wanavumilia tu maumivu wakisubiri siku ya kuliamsha ifike, kwani kiuhalisia wanaofaidi kwa maslahi ya CCM ni kikundi kidogo sana cha watu, sio hao wote uliowataja.
Kwani ni mbali sasa siku yenyewe ni 2023!
Pigia mstari
 
Mtu badala aeleze ni vp hiyo ccm itatoka madarakani kwa mipango ipi? badala yake mtu anatanguliza imani na matumaini yake kwamba ccm itatoka tu et sijui mbona dola fulani ilianguka! Sasa kama ni hivyo hakuna haja hata ya hivyo vyama upinzani wala kufanya harakati zozote tukae tu tusubiri mpaka hiyo siku ya kuanguka kwa ccm.
 
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.

Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?

Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.

Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?

"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"

" Ahsanteni sana"
Umenena !
 
Ni mjinga tu asiyejua history ya tawala za dunia ndio anaedhani CCM haitatoka.

Kwa tunaosoma alama za nyakati,CCM haifiki ata mwaka 2035
 
Ni mjinga tu asiyejua history ya tawala za dunia ndio anaedhani CCM haitatoka.

Kwa tunaosoma alama za nyakati,CCM haifiki ata mwaka 2035
Hakuna anayesema kwamba itabaki milele kama Mungu, tunajua kila kitu kitafika mwisho.
Ila kwa uhalisia ulivyo ccm si ya kutoka kesho au kesho kutwa kwa kuangalia jinsi ilivyo na yanayoendelea.
 
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu mitandao mnajidanganya.

Kuna Shirika moja la kimataifa Nalifanyia kazi la most of recruiters ni vijana ambao walikuwa uvccm ma vyuoni huko sasa hapo unategemea upinzani ukamate dola kwa namna hiyo? Nenda vyuoni kama chuo cha udom mara nyingi udom ni chuo cha kisiasa kama haujui now you know most of the staff there is pure ccm we unahisi kuna kuchukua nchi hapo?

Polisi,university,uhamiaji, jwtz umejaa uccm na mashirika mengi ya umma ni pure ccm yaanu msahau kuchukua nchi kwa trend hii ya kufikiri vile vile.

Mnataka reconciliation yes it is good lakini meridians ya aina gani and what kind of reconciliation?

"Mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauawi"

" Ahsanteni sana"
Jiweke wazi tu kwamba wewe ni mwanaccm

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mwl. Alikuwa mwanasiasa pia, ogopa Wanasiasa,wana kauli za mitego na kiudadisi,mwanasiasa anaweza kuzungumza jambo la kukufurahisha kukupima au kuichezea akili yako.
Yes,but Mwalimu alikua mtu mwenye kuisimamia itikadi yake,hata kwa matendo wengine wanasimamia matumbo yao na vizazi vyaoo .
 
Hakuna lenye mwanzo, likakosa kuwa na mwisho! Hakuna Dola ilikuwa na nguvu hapo zamani kama Dola ya Kirumi! Lakini muda wake wa kuanguka ulipofika, ilianguka kifo cha mende! Sembuse ccm!

It is just the matter of time.

Shkamoo Tate
 
Nakuhakikishia, CCM itakuja kufa kifo cha mende lakini si kutokana na vyama vya upinzani vilivyopo sasa.

Upinzani halisi utatoka CCM tu, na wala si vinginevyo. Tanzania haina wapinzani wenye nia, sababu na uwezo thabiti wa kushika dola.

Kitakachotokea ni kwamba, Kundi fulani lenye nguvu la Wana CCM litajitenga na CCM na litaanzisha chama kipya. Chama hicho kitapata uungwaji mkono kwa zaidi ya 85%.

Wana CCM, Wapinzani na watu wengine zaidi ya 75% wataingia katika Chama hicho kipya.

Hali ikishakuwa hivyo, automatically hata vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama, Taasisi na Asasi mbalimbali wataingia huko kisiri siri. Mpaka hapo utakuta zaidi ya 90% ya Watanzania wapo kwenye hicho chama kipya.

Kwa hiyo, hata ukifanyika uchaguzi chama hicho kitapata ushindi mkubwa kwa sababu hata wanaoshughulikia uchaguzi kwa ngazi zote zaidi ya 90% watakuwa ndani ya chama hicho.
 
Back
Top Bottom