RIP Chadema ,Mbowe alikupenda sana lakini Lisu kakupeleka machinjioni kiblaThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Ni saizi ya mamako?lissu sio saizi yako wewe matyako
We kenge, walimu na polisi wanahusikaje kwenye uchaguzi.SASA mnaumia nini cdm kutoshirikππ nyie shindeni mpata kura zote. Cdm ishasema hakuna uchaguzi kwq refa anayeteuliwa na timu mpinzani.
-Polisi mwajiriwa wa ccm
-mwenyekiti wa NEC mteuliwa wa ccm
-wakurugenzi wateuliwa wa mwenyekiti wa ccm
-Walim waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm
-watendaji wa kata na vijiji waajiriwa wa mwenyekiti wa ccmππ afu unamlazimisha watu washiriki uchafuzi wa demokrasia.
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Mwendazake aliishindwa kakimbia kaiwacha inachanja mbuga itakuwa nyie.That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Ni wa kumpuuza huyu Jamaa!unadandia maneno kwa wajinga wenzio unaelewa maana ya uasi
..thanx no public nuisance tll may be 40702030 umesema ww, sisi tunataka hadi 3070, ili mkae kwa raha zaidi. Hapo vipi?
Wasira is finally back where he belongs, mission accomplishedHuyo alikimbia NCCR, kama mnamdharau Mbowe huyo angeijenga NCCR... Mbowe ameacha alama katika demokrasia Tz.
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Mtakuwa ni watazamaji tu, hao 18 ni wenzetuMpira dak90 hapo siku ya kupiga kura, tuone mziki wake.
Na mmefanya vizuri kujilazimisha poo, because u have been a public nuisanceKwani wengine wanategemea nini kwa tume hiii na chaguzi hizi? Tushukuru tuna Chadema ambacho kimesimamia mabadiliko na sio chaguzi fake fake . Kwani sasa hivi wana wabunge wangapi? Mbona wapo
Akili mfu hope wewe na wasira Mna umri sawa... Zama za kufikiri unakuja na hoka za mavimavi.Tupo wengi hata wale g55,ww mtoto wako anasoma kwa amani kwa ajili ya ccm,hivi chadema wataleta nn Cha maana,chama kina watu kibao Wenye matusi
Una mdomo mchafu kama mama wa Kizimkazi. Kifo ni kifo tuNipo singida,hadi huku wanyaturu wanadai chadema walibugi kumpa chizi chama,na kitu kibaya habari zinazosambaa ni lisu kuhamasisha watu kuingia msituni,hata vijana wa chadema wanamlaumu lisu
We ***** hujui ndio wanaopiga kula za wizi ili ccm ishinde!! Bata wwWe kenge, walimu na polisi wanahusikaje kwenye uchaguzi.
U'r very delusional πAkili mfu hope wewe na wasira Mna umri sawa... Zama za kufikiri unakuja na hoka za mavimavi.
πππ Alama katika demokrasia ipi, KUKUBALI upuuzi kuwa sehem ya kukwamisha mapambano ya kweli ya kuiondoa ccm dhalim madarakani?.Huyo alikimbia NCCR, kama mnamdharau Mbowe huyo angeijenga NCCR... Mbowe ameacha alama katika demokrasia Tz.
Usijali Mtanzania, kumbuka MUNGU SI ATHUMANI.Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
Usije na mihemko ya kipuuzi bata wewe.U'r very delusional π
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
wazazi wako walitoa uchafu tu hapa duniani takataka weweNi saizi ya mamako?