Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Nafikiri ni wakati wa ccm kufurahia sasa. Chama kinachokubalika kwa watz ccm kitapata wabunge na madiwani 100%Upumbavu wa Lissu na genge lake.Uharakati umewaponza
Eeh wapigie basi debe g55 !!!Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Uropokaji huu na kukosa heshima lazima uigharimu CDM.tapeli la siasa Mbowe ila sio zama za mzalendo Lissu... Nyeusi n nyeusi na nyeupe n nyeupe.
Ccm walipaswa kusherehekea kabisa cha ajabu wanaililia chademaNafikiri ni wakati wa ccm kufurahia sasa. Chama kinachokubalika kwa watz ccm kitapata wabunge na madiwani 100%
Ccm oyeeereeeeee
Sasa mnasikitika badala ya kufurahi tena???
Hahaha. Wengi wanajua uchaguzi ni kupiga/ kuiba kura na kutangaza mqtokeo tu. Hawajui kwamba dosari zilianzia kwa kauli ya NAPE ?Ccm walipaswa kusherehekea kabisa cha ajabu wanaililia chadema
Ni kweli, wezi wa kura hawana tamaaa ya madaraka, ila wanaotaka uchaguzi wa haki ndio wenye tamaa ya madaraka. Nimecheka vibaya. Bado kuna maboya wa hivi?Nendeni tu ,tamaa .za madaraka
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Waropokaji ni kina Wasira na Makalla. Hata wwUropokaji huu na kukosa heshima lazima uigharimu CDM.
Tupo wengi hata wale g55,ww mtoto wako anasoma kwa amani kwa ajili ya ccm,hivi chadema wataleta nn Cha maana,chama kina watu kibao Wenye matusiNi kweli, wezi wa kura hawana tamaaa ya madaraka, ila wanaotaka uchaguzi wa haki ndio wenye tamaa ya madaraka. Nimecheka vibaya. Bado kuna maboya wa hivi?
Hakuna matusi ya dhahiri kama yanayoendeshwa na ccm ndani ya nchi hii.Tupo wengi hata wale g55,ww mtoto wako anasoma kwa amani kwa ajili ya ccm,hivi chadema wataleta nn Cha maana,chama kina watu kibao Wenye matusi
kaeni benchi, usituchoshe na harakati uchwarwa vyama 19 wanaendelea na raceMadai yetu yapo wazi na yana ushahidi, hatuko tayari kushiriki chaguzi kiinimacho. Shirikini na hivyo vyama vyenye imani na huo uhuni uitwao uchaguzi.
Hamia BurundiNi uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
Vyama 19, hata vingekuwa 100, lakini kushiriki chaguzi za kuhuni ni matumizi mabaya ya raslimali muda.kaeni benchi, usituchoshe na harakati uchwarwa vyama 19 wanaendelea na race
eti ka kikundi kamoja ka CDM hakawezi hata kujikimu, na migogoro kibao G55 vs HUSTLERSTangu Tanzania ikubali mfumo wa vyama vingi CCM haijawahi kuwa na presha na siasa za Tanzania Bara. As long as Zanzibar ni shwari wapinzani bara hamuwezi kuinyima CCM usingizi. DO NOT FOOL YOURSELVES.
Wasije wakathubutu kuzuia uchaguzi ambao hawashiriki.....Hamna uhalali wa kuzuia uchaguzi.Mkijaribu kuzuia uchaguzi ambao hamshiriki ni uhaini mwingine
PLS ENJOY THE SHOW TILL 2030Ni sawa, na tumekubali kiroho safi, kuliko kutugeuza urembo wa demokrasia wakati haipo. Tena hiyo 2030 ni karibu sana, fanya hado 2080.
HAMJALAZIMISHWA KUSHIRIKI, KAENI PEMBENI, WITHOUT CDM WE ARE FAR BETTERMadai yetu yapo wazi na yana ushahidi, hatuko tayari kushiriki chaguzi kiinimacho. Shirikini na hivyo vyama vyenye imani na huo uhuni uitwao uchaguzi.