Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.

Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Haitokaa tena ije itokee nisikilize kitu atakachosema Mbowe. Hivi umewahi kuona sehemu mtu kama Lipumba anahutubia ukakaa ukamsikiliza? Au jinsi tu unavyomchukulia baada ya ujinga aliofanya CUF? Basi kama jinsi ninavyomchukulia Lipumba na Mbowe namchukulia hivyo hivyo tangia jana. Ni tapeli, hanangwa, asiyejua wakati sahihi, mhuni mhuni na jambazi kwenye siasa. Ninachofurahi tumeona nyeti za kuku.
 
View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.

Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Hayo unayofanya kuiua Chadema ndo CCM wanafurahia. Naona umeamua kumsafishia njia SSH 2025.
Jitoeni wote mumuachie chama ayattolah Mbowe Kama mlivyomwaçha àkaandamana peke yake ili njia iwe nyeupe kwa CCM.
 
View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.

Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
OKW BOBAN SUNZU ,
Salary Slip
Erythrocyte

Najuaga Hawa ni wanazi wakubwa wa Chadema hapa JF. Sasa hapa amebaki kaka yangu Erythrocyte peke yake kung'atuka. Msifanye hivyo Wandugu
 
Hata mm ni chadema toka enzi za Ndesa niko Moshi na chaguzi zoote kura yangu huws ni chadema.
Ila ktk hili mbowe ameniudhi na kunikatisha tamaa kabisa kwa kung'ang'ania kwake madaraka.
Uchaguzi mkuu ujao sitapiga kura popote labda Mbowe ashindwe na hilo sitegemei kutokea kwakuwa wajumbe wengi watakuwa ni machawa yake.
Ila uchaguzi ungekuwa unaamuliwa na wanachama Mbowe angeaibika kwa kura ambazo angeambulia!!.
Asilimia 35% ya wajumbe wa chadema wanamilikiwa na bwana ABDUL NA MAMA YAKE BUSHIRI hao wamesha pokea maelekezo kumpitisha BWANA DJ(let the music play) mbowe... bado machawa wa mbowe kati ya wajumbe ...tundu lissu kinacho weza kumwokoa ni hofu ya wajumbe kukiua chama baada ya kumtosa tundu lissu ....namshauri tundu lissu akikosa kiti ajitoe chadema na kujiunga na chama kingine kidogo kwa msingi wa yeye kupewa uwenyekiti ...maana vyama vyote vya upinzani vidogo na vikubwa vipo mikononi mwa tiss na policcm na ccm ni vyama BOSHENI TU ... au ajiunge na kile chama cha mtikila sikumbuki jina lake.
 
Mtu atusaidie kufuatilia akaunti zake Mbowe huko ulimwenguni. Tutagundua kitu.
 
Tangu lini uliwahi kumuunga mkono Mbowe na Chadema? Mbona siku ile ya maandamano Mbowe alikuwa peke yake na bintiiye tu? Eti leo sikuungi mkono! KUMBAVU!!
Ile ilikuwa movie ya kijinga.
Maigizo yaliyo dhahiri.
Viongozi wote walipigwa Pini magetini nyumbani kwao kasoro Mbowe hakujulikana yuko wapi Hadi pale alipoibukia eneo la kuandamana.
 
Ile ilikuwa movie ya kijinga.
Maigizo yaliyo dhahiri.
Viongozi wote walipigwa Pini magetini nyumbani kwao kasoro Mbowe hakujulikana yuko wapi Hadi pale alipoibukia eneo la kuandamana.
Na Mnyika mratibu wa maandamano alikuwa kwenye "maombi maalum" sio? Kadanganye wengine!!
 
View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.

Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Takataka wa jalalani.....nenda mwana kwenda
 
Hata mm ni chadema toka enzi za Ndesa niko Moshi na chaguzi zoote kura yangu huws ni chadema.
Ila ktk hili mbowe ameniudhi na kunikatisha tamaa kabisa kwa kung'ang'ania kwake madaraka.
Uchaguzi mkuu ujao sitapiga kura popote labda Mbowe ashindwe na hilo sitegemei kutokea kwakuwa wajumbe wengi watakuwa ni machawa yake.
Ila uchaguzi ungekuwa unaamuliwa na wanachama Mbowe angeaibika kwa kura ambazo angeambulia!!.
Weka orodha kuanzia kwa Mashinji..hao wote wana tofauti gani na Lisu? Kati yao na Mbowe nani bado anapitia misuko suko..Mashinji Katibu Mkuu wa Chama alisaliti chama kwenda kuwa DC mashenzini huko..Lisu ni nyani si binadamu?
 
Tangu lini uliwahi kumuunga mkono Mbowe na Chadema? Mbona siku ile ya maandamano Mbowe alikuwa peke yake na bintiiye tu? Eti leo sikuungi mkono! KUMBAVU!!
Yale maandano yalikua geresha tu yalitakiwa yafanyike tanga sku tu baada ya kumzika kibao sio wiki tatu toka tukio amka usingizin ndo maana watu hawakwenda
 
Hakuna kitu km hicho sio Mbowe..Lisu ndio mlitaka awe kibaraka wenu, Mashinji ana tofauti gani na Lisu au huyo rafiki yake Msigwa..
Mlitaka akina nani?
Siko kwenye chama na sifangamani na chama chochote ila reality is, if state wanafaidika zaidi na uwepo wa mbowe, means mbowe ni asset kwa serikal.
No offense kwake amekitoa chama mbali, but ame make deal with the same people anao hubiri kuwapinga
 
Tumtoe Rais katika hili, tupambane na tuliyemuona kama alama ya upinzani na demokrasia nchini kumbe naye ni mpinzani ndani ya chama na mminya demokrasia.

Heshima yote niliyokuwa nampa Mbowe nimeiondoa jana.

Tutakuwa na hoja gani endapo Rais aliyeko madarakani akiadhimia kuongeza muda?
..akili yenu ni km mlenda wa jana, akili ya kitoto kabisa, inaona kitu kimoja tu kati kati ya mambo mengi makubwa na yametajwa jana!
 
Twendeni CHAUMA
KANYANGA LA CCM HILO NI POLICCM NA TISS NA CCM ....CHAMA BOSHENI ....AGENDA ILIYOPO MEZANI MWA BWANA ROSTAM AZIZI NI KUAKIKISHA VYAMA VYA UPINZANI VYOTE NI MILIKI YA CCM ..
AGENDA ZA RAIA FEKI WALIO SHIKA DOLA SIYO ZA MCHEZO NI MIMI TU NDIYO NINAWEZA KUZI PANGUA SEMA SIPO KWENYE SIASA NA HATA NINGEKUWEPO TATIZO JE NINGESIKILIZWA .. maana hata hapa JF nina onyeshaga kwa mbele mambo mengi na sisikilizw8 hata na upinzani uliopo humu.
 
Mmechelewa Sana Kutambua
Tuliwaita Nyumbu Kipindi hicho na Mkawa Mnatoa Matusi
Narudia Kusema Msije Tegemea Mbowe Kufanya Lolote la Maana Dhidi ya CCM Never
 
Back
Top Bottom