chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mimi free thinker, mtetezi wa dwmokrasiaKweli mbowe kibaraka,hadi wewe leo upinzani!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi free thinker, mtetezi wa dwmokrasiaKweli mbowe kibaraka,hadi wewe leo upinzani!!
ccm mmemuweza Mbowe sana, mmehakikisha mnaitafuna heshima yake tikitiki.Matapeli wanaondoka chadema mmoja mmoja, katiba yenu inatoa uhuru wa kugombea kwa kila mtu, kwa nini mnashinikiza mtu asitumie haki yake ya kikatiba? Nyie ndio mnasema katiba mpya ni suluhisho wakati hiyo ya kwenu hamuheshimu? Kwa nini mminye haki ya Mbowe kugombea? Kila mtu auze sera, wananchi wataamua
Ulipojiunga ulikuja kututangazia?😝😝😝😝😝View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.
Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Mbowe kapata mwisho mbaya,heshima yake yote kaipoteza, kumbe angefanikiwa siku moja kuwa rais angefia madarakani asingeachia nchi, ahahahahaHaitokaa tena ije itokee nisikilize kitu atakachosema Mbowe. Hivi umewahi kuona sehemu mtu kama Lipumba anahutubia ukakaa ukamsikiliza? Au jinsi tu unavyomchukulia baada ya ujinga aliofanya CUF? Basi kama jinsi ninavyomchukulia Lipumba na Mbowe namchukulia hivyo hivyo tangia jana. Ni tapeli, hanangwa, asiyejua wakati sahihi, mhuni mhuni na jambazi kwenye siasa. Ninachofurahi tumeona nyeti za kuku.
Yale maandano yalikua geresha tu yalitakiwa yafanyike tanga sku tu baada ya kumzika kibao sio wiki tatu toka tukio amka usingizin ndo maana watu hawakwenda
Hiyo aya ya mwisho ni sawa na kusema ni jukumu la mjusi kuzaa mambaSomo la muhimu kwa Mbowe ni kutengeneza succession planning.
Majibu yake kuhusu ilo swali alipoulizwa hayakuridhisha.
Mikakati ya siasa haitokani na mashabiki wa mitandaoni, bali internal strategies.
Kazi ya kuendesha na kulinda chama kwa uhalisia ni ngumu kushinda kusikiliza hadithi za watu wa mitandaoni.
Na kazi ya kuendesha nchi ni ngumu zaidi kuliko fikra za mitandaoni.
Magufuli hakuwa perfect, Iła Lissu alikuwa ni shida kwa national security zama za Magufuli.
Lissu huyo-huyo ni shida kwa mustakabali wa CDM sasa, kwenye kichwa chake life revolves around his nonsense without boundaries.
Siasa ni science na ina kanuni zake, ni watu wenye uelewa wa siasa tu ndio wanaweza ona madhara ya Lissu.
Miaka mitano ya mwisho ya Mbowe ana jukumu sasa la kujenga chama kupata viongozi sahihi.
Mkuu tuko wengi lakini tusubiri mpaka mtanange huu ufike mwisho, chochote chaweza kutokea...View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.
Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Policcm wamejaa hata huko chini ya mwongozo wa jambazi rostam azizi kuwa vyama vyote viwe ni bosheni ya ccmKaribu chauma chana cha wazalendo wa kweli , ukishashiba ndio akili itafanya kazi vizuri. #kataa njaa.
Kweli kabisaNi utoto umekujaa! Kwa Sasa hakuna Kiongozi kama Mama Samia.
ukale ubwabwaTwendeni CHAUMA
Kumbe?Policcm wamejaa hata huko chini ya mwongozo wa jambazi rostam azizi kuwa vyama vyote viwe ni bosheni ya ccm
Wazee wa ubwabwa mwingi wenye nazi nyingi....nimekaribia....Karibu chauma chana cha wazalendo wa kweli , ukishashiba ndio akili itafanya kazi vizuri. #kataa njaa.
nazan Mbowe hata akae miaka 100 kama mwenyekiti wa Chadema hiyo haitaathiri vyovyote maisha ya mtanzania au uchumi wa Tanzania ila kumrudisha huyu mtekaj wa watu kutoka ccmu hata kwa miaka 5 bas madhara yake tutayabeba vizaz si chini ya vi 5 , mjinga haez elewaView attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.
Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Tanzania imejaa wajinga sana , mbona huu unaonekana ni mchezo wa ccmu , watekaji wauaji wasio na mpango wa kuwajibika kwenye nafasi hao mnawakalia kimya mnahangaika na chademaTwendeni CHAUMA
Unadhani hao hakina Nape, Mwigulu, Ndumbaro, Ummy, Bashungwa (na wengineo) wapo hapo kwa bahati tu.Hiyo aya ya mwisho ni sawa na kusema ni jukumu la mjusi kuzaa mamba
Leo unajiokotea point za ubwete kwa raha zako kwa kuwaonjesha CHADEMA dawa yao wenyewe.Matapeli wanaondoka chadema mmoja mmoja, katiba yenu inatoa uhuru wa kugombea kwa kila mtu, kwa nini mnashinikiza mtu asitumie haki yake ya kikatiba? Nyie ndio mnasema katiba mpya ni suluhisho wakati hiyo ya kwenu hamuheshimu? Kwa nini mminye haki ya Mbowe kugombea? Kila mtu auze sera, wananchi wataamua