Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.

Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Sitaiacha CHADEMA yangu iko damuni sina mbadala😭😭😭
 
Mbowe is a sell out, I wish tungemjua mapema before it was too late. Hivi kwa siasa moderate za Mbowe kuna matumaini kweli kumtoa Samia?

Mimi siwezi msupport tena huyu mzee, nitajiweka mbali na chadema mpaka siku tukikomboa chama kutoka kwa huyu fisadi.
Jamaa kapiga mnada chama CCM wanashangilia haswa
 
Ni furaha kubwa mbinguni mwenye dhambi mmoja akitubu,vivyo hivyo ni furaha kubwa duniani nyumbu mmoja akijitambua na kuacha unyumbu!。
Karibu tena uraiani kama binadamu kutoka kwenye umnyama nyumbu!。
P
Duh, Pascal una vijembe vya rejareja.
 
Naona CCM mmefurahi. It is the big step for you
kwenye CCM kuna different classes,kundi la bourgeoisie na ma lumpen proletariats ndio wanafurahia,liko kundi CCM contemporary hatufurahii CCM kukosa upinzani imara, ndio maana uchaguzi wa 2020 baada ya kuona Lissu hawezi kumshinda JPM, tulimshauri JPM,amteue Lissu For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Na baada ya uchaguzi upinzani kupigwa chini,tulishauri Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
P
 
View attachment 3182292
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama ulitegemea tutakuunga mkono, basi ulichanga karata zako vibaya.

Hatutaondoka Jukwaa la Siasa, lakini sio kuunga mkono hotuba zako za kitapeli.
Yaani kwa mawazo na uwezo wako ulilua unawaza kuna Chama cha kuiondoa madarakani CCM siku za karibuni? Serious kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kumsupport Mbowe alichofanya, alitakiwa mpaka sasa awe ameshamwandaa mtu wa kushikikia uongozi wa chama. Huu ni upumbavu sana, hakuna anayeweza kusupport huu upumbavu. Bora chadema ikafa kikatokea chama kingine.

Ingawa mbowe hajachelewa kuokoa chama kugawanyika. Amekubali kuingia kwenye mtego wa CCM kichwa kichwa. Zero brain!

Sijajua kwann hajajifunza ujinga waliofanya mwaka 2015, ndo unajirudia tena 2025, upuuzi mtupu. Leo Chadema ingekuwa na nguvu sana kama siyo makosa ya 2015.

Inaonekana upinzani bado hawapo serious kuwa wapinzani.
 
Yaani kwa mawazo na uwezo wako ulilua unawaza kuna Chama cha kuiondoa madarakani CCM siku za karibuni? Serious kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
Wao wakikaa wanaona kama vile lisu anaingia ikulu hivihivi wakisaidia na paskali!!!

Wakimuona lisu anaongea sana wanaona ana nguvu mno
 
kwahiyo mnahisi mtaibiwa kura
Sio kuibiwa ila incumbency advantage, mfano mpaka sasa jamaa anaitwa mwenyekiti hivyo anatua resources za chama kufanyia kampeni za uenyekiti tofauti na makamu ambaye hana ofisi wala posho!!

Pia kamati ya uchaguzi anaisuka mwenyewe sasa itamuangushaje kura zisipotosha? Pia bado ni Mwenyekiti mpaka tunapoongea means ana uwezo wa kujua watu wote wanaompromote Lissu!! Na wengi lazima waogope maana uchaguzi ukiisha watajua Mbowe atawashughulikia.

Ukitaka uchaguzi wa kidemokrasia ni pale Mbowe angestaafu after 20 years ili sasa fomu wangechukua hata watu 10 wapewe muda wa kutosha kupiga campaign ikiwezekana majimbo yote kufanyike primaries na baadae wachague mwenyekiti mmoja.
 
hayo yote hamkuyaona miaka yote nyuma mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom