Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Tanganyika inapitia kipindi kigumu sana
Huwa nikiusikia wimbo wa makombolela nakumbuka hiki kipindi😭😭😭
Uchungu wa kuzaliwa upya!Tanganyika inapitia kipindi kigumu sana
Huwezi access picha mkuu jipate ununue simu kubwa au omba tukuchangie hata buku buku mara watu 500 laki 5Simu yangu ndogo muwe mnatoa maelezo sio udoko
Aisee watu wana roho ngumu sanaTanganyika inapitia kipindi kigumu sana
We humu niliona watu kadhaa wenye shida kubwa lakini hawajapata chochote labda Kejeli na matusi ngoja ning`ang`ane na hk k swaswadu changu mkuuHuwezi access picha mkuu jipate ununue simu kubwa au omba tukuchangie hata buku buku mara watu 500 laki 5
Hiyo picha watu walio lala imepigwa wapi.? ina maana gani nieleweshe
Amefanikiwa sana kuichafua kabisa sura nzuri ya nchi yetu.Tanganyika inapitia kipindi kigumu sana
Wimbo wa ukombozi wa taifaHuwa nikiusikia wimbo wa makombolela nakumbuka hiki kipindi😭😭😭
Mboe alikua nani?
Sijamwongela Mboe na wala simjuiMboe alikua nani?
Mkaishia kuwatetea humu licha ya unyama waliofanya huku mkisema anachukiwa kisa ni muislam.Aisee taaifa zinasambaa sana duniani,yani tayar Tanzania sio kisiwa cha amani tena
Mama kaupiga mwingiAisee taaifa zinasambaa sana duniani,yani tayar Tanzania sio kisiwa cha amani tena