Kwa heshima na taadhima, naomba uiangalie hii video hadi mwisho

Kwa heshima na taadhima, naomba uiangalie hii video hadi mwisho

Mkaishia kuwatetea humu licha ya unyama waliofanya huku mkisema anachukiwa kisa ni muislam.

Ila nyie watu, basi tu
Sijui kama nitaonekana najitetea au nasema kile ninachoamini, binafsi niliamini kwamba kwa kile kilichotokea hakipaswi kutokea tena,ndio maana nilikuwa na slogan yangu ambayo nilipost karibia kila uzi kwamba:

"Amani ni tunu yetu hivyo tuilinde kwa wivu mkubwa mno"

Nikisisitiza tuepuke maandamano ambayo yasije yakawa sababu ya umwagaji wa damu tena,sasa kama sikueleweka vizur basi lipo nje ya uwezo wangu

Sipo pamoja na wale ambao wamefurahia lile tukio wala sipo pamoja na hiki Chama na Serikali ambayo ilifanya unyama ule

Sasa swala la kuniamini au kutoniamini ni swala la mtu binafsi,kikubwa nafsi yangu ipo real
 
Mkaishia kuwatetea humu licha ya unyama waliofanya huku mkisema anachukiwa kisa ni muislam.

Ila nyie watu
, basi tu
Huyu jamaa uliyem-quote hapa siku za mwanzo mwanzo baada ya uchaguzi na mauaji yale alikuwa kwa siku anaanzisha threads siyo chini ya tatu kumsifia huyu mama na kuwasema waliouawa kwamba walikuwa wezi!

Hilo la dini hasa ndiyo lililokuwa linamsukuma kuongea ujinga.
 
Duh kwahiyo hata watu wa kawaida tunaodhani hawafatilii siasa wanazo habari zetu.

Sasa kwanini serikali inadhani mabeberu hawana taarifa sahihi ili hali wana kila aina ya chombo cha uchunguzi chenye weledi usiotiliwa shaka….
 
Simu yangu ndogo muwe mnatoa maelezo sio udoko
N video ya interview ya host wa kiume kwenda kwa mdada, host anauliza n nchi gani anaziona ni bora huku akitaja nchi tofauti tofauti hadi kufikia Kenya vs Tanzania.
Mdada akasema anaona bora Kenya kwa sababu serikali ya Tanzania haijali/iliua watu wake.
 
Back
Top Bottom