Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

Mwambie hiyo masters anataka cheo gani? Masters ni added advantage ya kuwa manager na higher positions ila kuna uzoefu kwanza angalau awe senior.

Hiko cheo anachokitaka hakipo labda posho.
 
Good
 
Tuweke kwa uongozi wa JF najua wewe huna weka hata laptop ya ofisini kwako mimi niwape JF cash kabla hujaanza ku-present ni online wala sitaki face to face.
🤣🤣Mkuu mm najua sisi wanaume tukipitia magumu huwa tunakuwa na hasira sana,
Anyway huo ndo uanaume
 
Nitashangaa kuona watu wenye masters hawa comment positive 🤣🤣
 
Halafu eti mtu anasoma masters of public administration ili iweje?
 
Kusema una laki 5 hapo ulipo ni uongo hebu nithibitishie kwanza
Mkuu uongozi wa JF si upo shida nini? Sina hela kihivyo lakini hela ya kukulipa ukifanya vizuri hainipigi chenga, nataka u-present final report ako ya chuo kwa power point mkuu tena 5 slides zinatosha kabisa kama kweli hiyo reserch ulifanya mwenyewe.
 
Mkuu uongozi wa JF si upo shida nini? Sina hela kihivyo lakini hela ya kukulipa ukifanya vizuri hainipigi chenga, nataka u-present final report ako ya chuo kwa power point mkuu tena 5 slides zinatosha kabisa kama kweli hiyo reserch ulifanya mwenyewe.
Sawa nipe kwanza advance laki na nusu ndo tuanze mjadala nikishinda unanimalizia au unaonaje.
Mimi Niseme ukweli Sina laki 5 🤣
 
CPA wanalipwa posho ya cheti cha CPA kweny taasisi nyingi tu ...Masters professional certificate wenzie wanalipwa wana professional certifacates za engineering, accounting nje ya degree au master.
Shida ya watumishi wa umma wanasomea mishahara badala ya maarifa na ujuzi, yaani hapo unaweza kumwa-access tangu asubuhi anabishania Yanga na Simba, ngono na kujadili maisha binafsi ya watu, akienda kula ni masaa 2 akirudi draft kwenye pc. Ufanisi ni zero kabisa. Sikatai watu wasisome lakini tunataka tija
 
Sawa nipe kwanza advance laki na nusu ndo tuanze mjadala nikishinda unanimalizia au unaonaje.
Mimi Niseme ukweli Sina laki 5 🤣
Najua mshahara ulikata tarehe 03, siwezi kukupa kirahisi hivyo wwe wasiliana na uongozi wa JF mi nitatoa sina shida
 
Taifa letu lina vitu vya ajabu....hongera kwa masters tunatambua hilo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…