Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

Tunataka tija ya hiyo masters ako na siyo cheti, watumishi wa umma nyie ni wajinga sn, kutwa kujisifia elimu badala ya kufanya kazi mzalishe wananchi wapate unafuu wa maisha nyie ni maigizo ya masters. Haya tangu umemaliza masters umefanya nini cha tofauti na wenye degree? au ulitaka tujue kuwa una masters hapa? Masters yenyewe assignments + research ulifanyiwa ulichofanya ni kutoa hela tu. Shame on you
🔧🔨📌
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿

Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na mikopo pia kila Kona,

Tumeona serikali vile inatilia mkazo swala la Elimu Bora na yenye tija kwa maendeleo ya Taifa letu.

Hivyo basi tunaiomba serikali yetu tukufu endapo bajeti itaruhusu iweke muundo wa
kiutumishi na mshahara kwenye Elimu za masters/PhD, kwenye zile idara ambazo shahada ya pili haitambuliki.

Niwatakie kazi njema tufanye kazi kwa bidii kwa masilahi ya Taifa letu.
Ni wazo zuri,ila shida inakuja kwa baadhi ya Taaluma kutokua na tija kwa hao watu wenye masters,.........ukiwa mgonjwa utapokutana na MD,kisha ukutane na MMED utaona tofauti kabisa wa huduma,yaani Kuna clear cut kati ya skills,education,knowledge ya watu wa degree na master.
Kule kwenye uwalimu unakuta walimu kibao Wana master,kama Azania pale,ila matokeo yakitoka hamna tofauti na shule yenye walimu wa Diploma
WITO:ukienda kusoma master,kasome uwe nondo,sio tu kurudi na mavyeti,.....kasome kiasi kwamba ukirudi kwenye kazi Yako ya awali tofauti ionekane na hapo thamani Yako itapanda exponential
Je wewe ukiwa mmiliki wa kampuni ya ujenzi kama mtu mwenye bachelor ya civil anaweza Jenga jengo vizuri,SAWA na mtu mwenye PhD ya Civil,utamuajiri yupi kati ya hao?
 
Je wewe ukiwa mmiliki wa kampuni ya ujenzi kama mtu mwenye bachelor ya civil anaweza Jenga jengo vizuri,SAWA na mtu mwenye PhD ya Civil,utamuajiri yupi kati ya ha
Motisha is matter, angalia shule zinazofanya vzuri utaona wanakuwa motivated sana,
Hivi ww ukiambiwa '"A" moja utapewa laki si utalala darasani🤣
 
Ni wazo zuri,ila shida inakuja kwa baadhi ya Taaluma kutokua na tija kwa hao watu wenye masters,.........ukiwa mgonjwa utapokutana na MD,kisha ukutane na MMED utaona tofauti kabisa wa huduma,yaani Kuna clear cut kati ya skills,education,knowledge ya watu wa degree na master.
Kule kwenye uwalimu unakuta walimu kibao Wana master,kama Azania pale,ila matokeo yakitoka hamna tofauti na shule yenye walimu wa Diploma
WITO:ukienda kusoma master,kasome uwe nondo,sio tu kurudi na mavyeti,.....kasome kiasi kwamba ukirudi kwenye kazi Yako ya awali tofauti ionekane na hapo thamani Yako itapanda exponential
Je wewe ukiwa mmiliki wa kampuni ya ujenzi kama mtu mwenye bachelor ya civil anaweza Jenga jengo vizuri,SAWA na mtu mwenye PhD ya Civil,utamuajiri yupi kati ya hao?
Nimeshasoma nikasome Mara ngapi mkuu
 
Nimeshasoma nikasome Mara ngapi mkuu
Sasa kama skills unazo za ulichosomea huwezi lia lia,ukishaona unalia jua huna thamani ulienda kukalili vitini na kufanya useless assignment kwenye master Yako,.........huwezi Kuta mtu mwenye master ya vascular surgery,anaunga blood vessels analia lia kipumbavu kama ninyi wakalili vitini
 
Kwani hujui kuwa masters kwenye afya Ina muundo wa kiutumishi? Sasa ataliaje wakati mtu kasoma Masters ya surgery na amepandishwa cheo na mshahara.
Mkuu Kama hujui vitu cool down
 
Ina muundo sababu Ina value
registrar hasomi kufungua ubongo hio kazi inafanywa na neurosurgery,.......unadhani kabla ya kua na cardiologist pale JKCI billions of dollars kiasi Gani zilitumika kutibia watu nje ya nchi?...........
Wewe unasoma master kwa kukaa darasani kama mwanafunzi wa shule ya Msingi😁😀😆,unategema wenye akili waje wajue thamani Yako?
Waondoe walimu wenye master pale Azania na jangwani kisha waondoe madaktari wenye master pale MOI,..........uone hata wewe mwalimu mwenye master utavotaka madaktari wenye master waanze kurudishwa kwanza pale MOI kwa expense of your salary
Tengeneza value mzee,watu wanakaa field 5 yrs kujifunza kuunga nerves uje ushindae na wewe unayefanya assignment kwa kutumia chatgpt......si UPUMBAVU HUO

Hiyo siyo sababu ya kutoitambua masters
 
Hiyo siyo sababu ya kutoitambua masters
Ni sababu tosha,..........wewe ni mmiliki wa kampuni ya I.T Kuna kijana ana Diploma,anadesign web,anafanya Blockchain,networking,excell etc.
MWengine ana master ya I.T,ana GPA ya 4.8,anachojua yeye ni kuongea English fluent,.........utamuajiri nani?,ikitokea ukiwaajiri wote,na una chance ya kumuongezea mshahara mmoja utamuongezea nani?
Hata hao doctors walio nondo zaidi hawabaki bongo,hufanya USLME,PREB,hutimkia U.S,U.K.south Africa,Botswana kusaka green pasture.
Life is the game ,kukaa na mapumbu yako,kulia wewe umesoma biashara,umefaulu sana ni upumbavu ilihali vijana walioshia la saba wanaagiza makontena china
 
Mtu mwenye Masters ni mwenye Masters...IT wa diploma anasoma vitu vidogo sana, Mtu mwenye Masters ya IT usimfananishe na kitu chochote mkuu
 
Unaamini kwenye masters?
1.Wewe una masters ya usimamizi wa biashara,hujawahi miliki hata genge,wenzako wanajua kusoma na kuandika wanamiliki mafremu pale Sinza.
2.Una master ya education,ulikalili vitini,kazi kukaa ofisini kupiga umbeya tu,wenzako hawajui hata degree ni nini wakina Mgote,Hidden,wakina Mbuga,wanajaza wanafunzi miaka na miaka pale mchikichini
3.Kuna watu wameenda kusoma MD,china wakirudi wanajua salamu tu za kichina,wakimaliza intern ndio habari yao inaishia hapo,ila madogo waliosoma CO,Kilosa,Lindi,Sengerema ukiwaachia kijiwe wanapiga mzigo ile mbaya
Unalalamika sababu hauna hio thamani unayotaka ulipwe,......na huu ndio upumbavu wa wasomi wengi wa bongo,ukiwemo wewe
 
Kwani umeambiwa mtu akisoma Masters ya biashara anafundishwa kupanga nyanya dukani?
 
Back
Top Bottom