Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Hamna kitu acheni kumfariji
 
Hamna kitu pale anajitutumua tu kijana
 
nimesoma hiki kibandiko nikaingia youtube kuusikiliza huu wimbo husika nimekuta ni tofauti na unavyokosolewa,ni wimbo mzuri na unachezeka ni remix nzuri tu. nimejaribu kuukosoa nimeshindwa tuweke ushabiki pembeni dogo amejitahidi sana tu
Hapo tumepigwa Sana aseee
 
Kwanza tumpe Hongera Kwa kumuongezea viewers .

Maana hata ambao walikuwa hawajui kama ametoaf wimbo Ila kwa Maoni Yako wataenda kuangalia mziki Mzuri ..
 
Naona YouTube washafanya yao,wamepunguza views za zisizo timilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…