Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,480
- 38,367
na familia yako mfe mzikwe leoLazima muendelee kufa tu wewe na nani??
Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu.
Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!

Ngoja niyaite:
Magonjwa Mtambuka, jingalao, njinjo, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na Yale mengine, mkuje mara moja mnapojielekeza rasmi, uelekeo halisi kwenye vitabu vya Guinness vya dunia!