Kwa hii barabara bado tunaweza sema tuna serikali ya watu wenye akili?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,480
Reaction score
38,367
Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu.

Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
 

Attachments

  • IMG_3243.jpeg
    160.5 KB · Views: 32

Ngoja niyaite:

Magonjwa Mtambuka, jingalao, njinjo, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na Yale mengine, mkuje mara moja mnapojielekeza rasmi, uelekeo halisi kwenye vitabu vya Guinness vya dunia!
 

Na usikute hadi leo tunalipa deninla mkopo wa ujenzi wake...
 
Wew unalilia barabara, Wabunge wko wanahitaji magari Yao yawekewe bendera kuwapa heshima na mda wa kutambulishana uengezwe Sasa sijui na atasikilizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…