Uchaguzi 2020 Kwa hii hotuba ya Tundu Lissu Segerea, amepotosha

Naona mifano yako ya Kiulaya ulaya....yaani unalinganishadaraja Sweden na Tanzania ...Obama Care na NHIF!
Mkosoeni TL kwa hoja mnazidu kumpaisha!
 


Maendeleo hayana vyama!
 
SGR inajegwa chini ya kiwango kwa sababu Serikali ya CCM inawalipa waturuki kwa shida shida usumbufu mwingi mno, pesa haitoki mpaka mtukufu aweke sahihi na pia Doto katibu mkuu apate 10% yake.

Maendeleo hayana vyama!
 

Mkuu SGR serikali hata leo hii hadaiwi kit
Hao waturuki na waarabu wa stigler gorge wanalipwa hela wao hawawalipi wanafanyakazi, supplier na subcontractors wao

Ni kama wanazizungusha hela kwenye mabenk yao wapate faida


Pole lakini, naona JPM kakukamata, atakukamata na kwenye maisha Penda kuwa positive
 
Angalau sasa tumeamka kifikra, siko upande wowote ktk huu uzi ila nimefurahi kuona sasa tuna bishana kwa hoja na hoja na sio kwa kulalamika na kukomoana tu.
 
Kuitetea CCM ni kujivua nguo hadharani!
 
umeongea mkuu mwenye akili timamu amekuelewa wabaki tu hao wenye mapenzi na lissu ambaye anaongea vitu ambavyo havitekelezeki anajifanya ana akili nyiiiingiiii kumbe maneno matuu
 

Uongo huo Joka kuu. Mimi ninaishi hapa Canada hakuna kitu kama hicho.
 
Uongo huo Joka kuu. Mimi ninaishi hapa Canada hakuna kitu kama hicho.
Mkuu Bora umenisaidia anadhani humu jf hakuna mtu anayeishi canada, Hawa cdm waongo sana
 
Kwa hivi vitasa sijui kama atarudi mkuu.
Hata mimi kanishangaza yani hela unazo halafu unaenda kukopa kwa interest ili ulipe. Si utumie fedha zako tu?
 
Naona mpaka wapiga picha wa CHAMA uhuru wao wa kupiga picha umeminywa.

TUWEKEENI PICHA ZA MIKUTANO TUONE MAFURIKO.
 
Uchambuzi mzuri sana huu.Lissu hana data sahihi anabaki kupayuka na kudanganya umma tu.
 
Unajua kuwa kwenye manunuzi ya ndege hata CAG haruhusiwi kukagua?
 
Hii hotuba ilitangazwa na TV gani kwani?????????Unamfatilia vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…