1. Lissu ameelezea vizuri sana na hapo hoja yake ilikuwa uhuru ,hakuna mtu mwenye uhuru na fedha zake zitumikaje ,ni mtu mmoja tu ndiye anaamua fedha zitumike wapi na huo ndio lissu hataki na serikali ya chadema itafuta huo upuuzi wa kila kitu anaamua mtu mmoja.......Nani alikwambia "Daraja la Tanzanite aka salenda" ndio kiunganisho cha Mwenge ,Ununio,Mbweni,Bagamoyo? Ubongo wako unafanya kazi kweli? Daraja lingeishia Ufukweni Bahari beach au ununio hapo kidogo ungeeleka ila daraja ninaishia oysterbay kwa "WASHUA aka WANENE" tu haliwezi kutataua foleni yoyote maana mwananchi wa kawaida akishafika oyester bay atakuja kutokea Mikocheni Tanesco bado atapambana na foleni ya kutoka hapo Mikocheni Tanesco hadi Kunduchi Njia panda Mataa hapo ndio ale kulia ndipo foleni inakwisha.
2. Acha upoyoyo juzi juzi mlikuwa mnasema uchumi wa kati wa Z umekuwa rated na WB(Vyombo vya Nje ,Mabebebu) na mlikuwa mnasifia sana ila vyombo vya nje vikitoa takwimu ambazo hazifavor TZ mnasema kwamba zinatumiwa na mabebru ,itoshe kusema tu Moody wameongea ukweli kiwango cha kuaminika kwa TZ kimeshuka sana,TZ haimaniki kimataifa kama wakipewa loan wanaweza kurudisha.
3. Itoshe kusema kwamba Chato ndio Gbadolite,kila kitu kinajengwa chato,Lissu ametoa maelezo ya kutosha ,hauwezi kujenga uwanja wa ndege ambao hakuna shughuli zozote za kiuchumi zinazoendelea ,uwanja umejengwa kwa ajili ya "JIKONO JANDAMA" kwenda kula sikuku ya pasaka na xmas tu na hakuna ndege yeytote inayotua huko chato zaidi ya yeye tu JIKONO JANDAMA.
4.Kwanini aende ATCL kuuliza? Kwanini ununuzi wa ndege haujapitia manunuzi ya umma? Kwanini Bunge hawakujadili? ZIngefuata hizo proceess wananchi kupitia bunge wangepata taarifa zote ,miradi ya kuficha ficha ni ya kifisadi na wizi,ndege JIKONO JANDAMA amepiga karibia 50% ya manunuzi eg Terrible Teen(Dream Liner) tumeuziwa karibu usd 200m wakati bei halisi ni Usd 98m kwahiyo jamaa kapiga 102m usd.
5.Kweli wewe ni POYOYO na ni BOYA ,hivi unajua kwamba chadema imeenea nchi nzima? Hivi mil 300 inaweza kuhudumia viongozi wa chadema kuanzia ngazi ya tawi,kata,mtaa,jimbo,wilaya,mkoa hadi taifa? Hivi unajua Chadema ina viongozi wangapi? Je unajua matumizi ya kuendesha chama kwa mwezi? Ulijaribu kupitia report ya CAG amabyo ipo mitandaoni kujua matumizi ya chama? Fanyeni reasearch kabla ya kupayuka ,hata kama mnalipwa na CCM jaribuni kutumia ubongo ili muendelee kuwashawishi kina bashiru na Dr zack muendelee kulipwa.
6.Kweli vijana wa lumumba vichwa ni empty ,amasema wazi kwamba Bima za Kibongo Bongo sio Bima halisi ,ukiwa na mgonjwa makubwa Bima hawakutibu ,Bima zinatibu malaria,UTI,kichwa etc Ukipaa magonjwa makubwa bima haikutibu sasa ndio ameuliza nini sasa faida ya Bima kama haikusadii endapo umepata ugonjwa mkubwa? Haya mambo ya kusema sijui mbona marekani wameshindwa ni Uzwazwa,kwani sisi tunafatisha marekani? Mbona marekani kuna uhuru wa kujieleza sasa mbona hatufuati tumeshindwa?
7.Kwenye Uchumi wewe ni Mweupe sana ,Yaani una mafedha/AKiba kwenye BOT kwakuwa hauna dolla ndio maana unaenda kukopa Hahaha upo serious kweli? Kampuni ya yapi ipo nchini na ina operate nchini ukitaka kuilipa unailipa humu humu nchi kwenye account zao za nchini na siku hizi kuna visa ,aacount yako ukilipa kwa Tsh shilling ukienda nchi nyingine inakuwa converted kwenda thamani ya Usd.....Haiwezekani deni liongezeka karibu Trilioni 20 kwasababu ya hatuna Dolla nchini,je zile tambo kwamba tuna akiba ya dolla za kutosha zilikuwa za nini?