Kwa hii mibinuko wake zetu watapona kweli kwenye hizo gym?

Kwa hii mibinuko wake zetu watapona kweli kwenye hizo gym?

Gym nyingi bongo ni vichaka vya kunyanduana ila bahati nzuri sana yale ma instructor yenye manyama nyama mengi mengi yao hayanaga madhara , mijoka ya kibisa, ila kuna wakware wakutosha kule , mtu analiwa kama dozi asubuhi mchana jioni
 
Wewe muache mkeo abinuliwe na Bodaboda, hujakatazwa.

Madaktari wa magonjwa ya wanawake wengi ni wanaume, think wisely.
Acha kupigia chapuo upumbafu,usifananishe mambo ya lazima km ugonjwa au Safari na ishu za mazoezi,peleka mkeo awe anabinuliwa hivyo.
 
Kwahiyo Gym siyo taaluma? Unafahamu physiotherapy?
Unaijua physiotherapy inafanyikaje chief, au unajua leseni ya kufanya physiotherapy inatolewa tu na MCT
 
Kwahiyo Gym siyo taaluma? Unafahamu physiotherapy?
Unajua indications na sababu za kufanya physiotherapy na recommendations gani za mazingira, wizara ya afya imetoa kwaajili ya physiotherapy kufanyika. Tafadhali usikariri, wewe ukishasikia physiotherapy basi nimazoezi tu. Unajua physotherapist anahudumia wagonjwa wa ngapi na every visit ni clinical vist sio mazoezi tu. Ndio maana nikakwambia heshimu taaluma usitaje kitu usichokijua sababu tu umeambiwa in simple terms kipo hivi. Centre ya kufanyia physiotherapy sio gym area utafungiwa.
 
Cha ajabu wakitoka kubinuka hapo wanaenda kukaa kwenye visinia wanashindilia misosi.
 
Aina nyingine ya danguro..
Waalimu wa gym wanafanya makusudi, mazoezi gani hayo!!!
Mtengenezee "mini gym" nyumbani
Mkunje kunjekw staili yoyote unayotaka ukiwa unafanya nae mapenzi. Mbona mwanamke Hana haha ya gym
 
Back
Top Bottom