Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Wanaume wa Gaza wako vitani,

Ulitaka wanaume waende vitani na family?
 
Vita pia ina utaratibu wake. Hutakiwi kupiga sehemu za makazi. Israel hawachagui pa kupiga. Wanapiga hadi kambi za wakimbizi ndio maana unaona kuna vifo vingi vya wanawake na watoto.

Vita hazinaga utaratibu mkuu.
Mwenye nguvu ndio hupanga utaratibu wa uongo ilikuwazi wanyonge.

Vita ikishakuwa na utaratibu haiwi vita tena bali shindano au pambano.
Vita kama vita haina sheria wala taratibu. Vita haina macho.
 
Wakuu kwema!

Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas..

Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi?
Je wanakuwa wanapigana?
Je wamekimbia na kuacha familia yao?
Je wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ya mashambulizi?

Yaani vita imeanza, mnajua kabisa maeneo yatakayoshambuliwa ni yapi inakuwaje familia îachwe maeneo hayo?

Mbona viongozi wao wanawake na watoto wao hawauliwi? Nazungumzia watoto wadogo.

Je Hamas inashindwa kuficha au kuhamisha na kupeleka wanawake na watoto wao sehemu salama kisha vita iendelee?

Bado hainiingii akilini. Yaani kweli wewe mwanaume unajua kabisa kesho au Wiki ijayo kutafanywa mashambulizi mji wenu alafu uache familia yako eneo hilo. Kweli.

Mbona watawala wao hawakubali familia zao ziwe sehemu isiyo salama? Kwa nini Watu maskini na wajinga ndio huwa wahanga wakwanza kwenye vita?

Karibuni kwa mjadala
Wakristo mnafurahia mahuaji yanayofanyika huko gaza,hivi nyie mazuzu mnapata faida gani na vifo vya watu na vita?!
 
Kwakua HAMAS Haina mamlaka kamili ya kua na jeshi basi kwa gaza hata akifa mwanaume wa kawaida huchukukiwa yeye ni HAMAS
 
Wakuu kwema!

Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas..

Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi?
Je wanakuwa wanapigana?
Je wamekimbia na kuacha familia yao?
Je wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ya mashambulizi?

Yaani vita imeanza, mnajua kabisa maeneo yatakayoshambuliwa ni yapi inakuwaje familia îachwe maeneo hayo?

Mbona viongozi wao wanawake na watoto wao hawauliwi? Nazungumzia watoto wadogo.

Je Hamas inashindwa kuficha au kuhamisha na kupeleka wanawake na watoto wao sehemu salama kisha vita iendelee?

Bado hainiingii akilini. Yaani kweli wewe mwanaume unajua kabisa kesho au Wiki ijayo kutafanywa mashambulizi mji wenu alafu uache familia yako eneo hilo. Kweli.

Mbona watawala wao hawakubali familia zao ziwe sehemu isiyo salama? Kwa nini Watu maskini na wajinga ndio huwa wahanga wakwanza kwenye vita?

Karibuni kwa mjadala
Sasa mkuu nyie vianaume vya kutaka "kusaidiwa maisha" na wanamake wewe mwenyewe included na daily unabwatuka hapa kua "maisha kusaidiana" mambo ya 50/50 niambie vita ikitokea unashindwaje kukimbia umuache mwanamke "akusaidie" kupambana na adui. Ebo !!

Sasa nadhani umeanza kunielewa jinsi gani kama ulivyosema "haingii akilini" yes haiingii akilini wala tundu lingine lolote ati mwanaume ajione anamajukumu SAWA na mwanamke. ati una haki ya "kusaidiwa maisha" na mwanamke Ati wote wanatakiwa kufanya 1,2,3 kwa usawa, aise wanaume wa Dar ni kichefuchefu.

Mwanamke ni mlezi wa watoto na familia ili hali mwanaume ni provide, mfariji, mlinzi, mtetezi na kiongozi wa familia. Right kama hao mashosti wanaovaa madera a.k.a kanzu wangelijua hili wangesimama kidete "kulinda na kuwakinga wanawake na watoto"
 
Marekani yule akiguswa au Urusi hizo kanuni sijui visheria gani huwezi kuvisikia vikitumika.
Vita haina sheria mkuu.
Ûkiona unafuata sheria ujue kuna mkubwa au mbabe wako kakupa muongozo na usipofuata unachezea.
 
Back
Top Bottom