Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Kufa wanakufa watu wote ila kwa sababu ya udhaifu wa wanawake na watoto mara nyingi wao ndiyo huathirika zaidi hata hapo Congo tu hali ni hiyohiyo.
Hali ya Congo na Gaza NI tofauti Mkuu.
Gaza taarifa hutolewa Wiki nzima kama sio mwezi hivyo hiyo ingekuwa nafasi kwa wenye familia kulinda familia zào.
Mbona watoto wa wakubwa huhamishwa
 
Ulikua unaonekana smart kumbe ni kichaa

1. Kwenye vita wanawake na watoto ndio wanahesabiwa ni victims, sio kua wanaume hawafi huko Gaza
2. Hakuna mtu anaependa kufa, gaza imezingirwa kila kona, ndio mana kwa sasa wengi wamekusanyika Rafaa, wapo wanaotaka hata kuhonga ili familia zao zitoke nje ya gaza.

3. Tumia akili usitumie mihemko, wale wanaokufa ni binadamu, wanafanya kila wawezalo waishi, acha ujuaji

Wewe kama sio kichaa ungepaswa kujiuliza kwa nini nimeichagua vita ya Gaza na Israel na sio vita zingine.

Vita ya Gaza na Israel NI tofauti na vita zingine katika suala la taarifa.
Israel inatoa taarifa kabisa kuwa Watu wa eneo fulani wahame kwa sababu itashambulia eneo hilo. Hivyo raia na wasio wanajeshi wahame ili kuepukana na vifo.

Sasa wewe kwa vile unaakili nyingi zilizokuzidi(kichaa promax) huoni hilo, umekimbilia kuandika.
Sasa turudi kwenye uzi. Kama unamàjibu ya swali nililouliza waweza kujibu. Kama huna basi unauhuru wa kuandika chochote kadiri ya akili yako inavyokuendesha
S
 
Wakuu kwema!

Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas.

Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi?
Je, wanakuwa wanapigana?
Je, wamekimbia na kuacha familia yao?
Je, wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ya mashambulizi?

Yaani vita imeanza, mnajua kabisa maeneo yatakayoshambuliwa ni yapi inakuwaje familia îachwe maeneo hayo?

Mbona viongozi wao wanawake na watoto wao hawauliwi? Nazungumzia watoto wadogo.

Je, Hamas inashindwa kuficha au kuhamisha na kupeleka wanawake na watoto wao sehemu salama kisha vita iendelee?

Bado hainiingii akilini. Yaani kweli wewe mwanaume unajua kabisa kesho au Wiki ijayo kutafanywa mashambulizi mji wenu alafu uache familia yako eneo hilo. Kweli.

Mbona watawala wao hawakubali familia zao ziwe sehemu isiyo salama? Kwa nini Watu maskini na wajinga ndio huwa wahanga wakwanza kwenye vita?

Karibuni kwa mjadala
wanaume, wanawake na watoto wote wanauawa kwenye hiyo vita wawe Hamas au siyo, sema wanawake na watoto wanatumika Ili kupata public sympathy kwa sababu wao huangaliwa kama kundi dhaifu linalohitaji kulindwa vile vile ni propaganda ya kuonesha jinsi wayahudi walivyo makatili na upande ulio against nao
 
Wanapambana na haramia Nyau na kuzipatia familia mahitaji
 
wanaume, wanawake na watoto wote wanauawa kwenye hiyo vita wawe Hamas au siyo, sema wanawake na watoto wanatumika Ili kupata public sympathy kwa sababu wao huangaliwa kama kundi dhaifu linalohitaji kulindwa vile vile ni propaganda ya kuonesha jinsi wayahudi walivyo makatili na upande ulio against nao

Umejibu vizuri kabisa. Kwa kifupi na kueleweka
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Vita pia ina utaratibu wake. Hutakiwi kupiga sehemu za makazi. Israel hawachagui pa kupiga. Wanapiga hadi kambi za wakimbizi ndio maana unaona kuna vifo vingi vya wanawake na watoto.
Sheria hizo hizo zinataka maeneo ya kiraia yasitumike kuweka zana za kivita na kuandaa mashambulizi. Ukiweka vifaru shuleni na makombora sokoni tiyari hayo siyo makazi ya kiraia.
 
Katika majanga yoyote makubwa wanawake na watoto huwa waathirika wa kwanza hii ni kawaida haijalishi mtakuwa makini kiasi gani ila waathrika wakubwa watakuwa wanawake na watoto Cha msingi tuombe amani ipatikane haraka
mf Idf ilisema itavamia Rafah lkn hakuna mwanaume wa Gaza anafikiria kuipeleka familia yake sehem salama
 
Sheria hizo hizo zinataka maeneo ya kiraia yasitumike kuweka zana za kivita na kuandaa mashambulizi. Ukiweka vifaru shuleni na makombora sokoni tiyari hayo siyo makazi ya kiraia.
Nishaachana na hii thread baada ya kuelimishwa kuwa vita haina sheria.
 
Wewe kama sio kichaa ungepaswa kujiuliza kwa nini nimeichagua vita ya Gaza na Israel na sio vita zingine.

Vita ya Gaza na Israel NI tofauti na vita zingine katika suala la taarifa.
Israel inatoa taarifa kabisa kuwa Watu wa eneo fulani wahame kwa sababu itashambulia eneo hilo. Hivyo raia na wasio wanajeshi wahame ili kuepukana na vifo.

Sasa wewe kwa vile unaakili nyingi zilizokuzidi(kichaa promax) huoni hilo, umekimbilia kuandika.
Sasa turudi kwenye uzi. Kama unamàjibu ya swali nililouliza waweza kujibu. Kama huna basi unauhuru wa kuandika chochote kadiri ya akili yako inavyokuendesha
S
Mara ngapi misafara ya watu kuhama inapigwa? Wale wa central kitchen ambao walitoa hadi taarifa waliouliwa nao ni wazembe? Nyie wote kundi moja, hata hata kinyesi cha myahudi kwenu ni scarred one.
IMG_0839.jpeg

Wapumbafu wenzio hawa mbaofanana akili
 
Sio kama wanaume hawafi... Wao pia ni wahanga wa haya maswahibu ila tunaelezwa kuwa wanawake na watoto ndio wanao kufa kutokana na kwamba Israel inalenga maeneo ya kiraia kitu kinachopelekea kuua raia wasio na hatia ikiwemo wanawake, watoto na hata wanaume pia.
 
Nishaachana na hii thread baada ya kuelimishwa kuwa vita haina sheria.
Robert Heriel Mtibeli hayupo sahihi. Vita zina sheria na kuzuia vitu kama kushambulia vyanzo vya maji, kulipua mabwawa, treatment ya POWs, utaratibu wa retreat, kushambulia raia, n.k. Ila kwenye sheria hizo huwa kuna kuzingatia mazingira kama casualties of war na mengine.

Hata hivyo kuwepo kwa sheria za kivita, haimaanishi zinazingatiwa. Sasa shida ya Mtibeli yeye kwa sababu anaona kuna wezi basi anadai hakuna sheria ya kuzuia wizi.

Majenerali wa Japan wengi walijiua kwenye WW2 sababu walijua wamefanya war crimes na watanyongwa. Nazi Germany makamanda wake kadhaa walijiua, wengine wakakamatwa na kunyongwa, wengine wakubwa tu kama Field Marshall Albert Kesselring wakaachiwa. Sasa kama hamna sheria za kivita hiyo military tribunal ilikuwa inahukumu kwa kurejea nini.

Geneva convention ya 1949 imeongeza sheria za mapigano.
 
Back
Top Bottom