Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

Wanaume wa Gaza wako vitani,

Ulitaka wanaume waende vitani na family?
 
Vita pia ina utaratibu wake. Hutakiwi kupiga sehemu za makazi. Israel hawachagui pa kupiga. Wanapiga hadi kambi za wakimbizi ndio maana unaona kuna vifo vingi vya wanawake na watoto.

Vita hazinaga utaratibu mkuu.
Mwenye nguvu ndio hupanga utaratibu wa uongo ilikuwazi wanyonge.

Vita ikishakuwa na utaratibu haiwi vita tena bali shindano au pambano.
Vita kama vita haina sheria wala taratibu. Vita haina macho.
 
Wakristo mnafurahia mahuaji yanayofanyika huko gaza,hivi nyie mazuzu mnapata faida gani na vifo vya watu na vita?!
 
Kwakua HAMAS Haina mamlaka kamili ya kua na jeshi basi kwa gaza hata akifa mwanaume wa kawaida huchukukiwa yeye ni HAMAS
 


Karibuni kwa mjadala
Sasa mkuu nyie vianaume vya kutaka "kusaidiwa maisha" na wanamake wewe mwenyewe included na daily unabwatuka hapa kua "maisha kusaidiana" mambo ya 50/50 niambie vita ikitokea unashindwaje kukimbia umuache mwanamke "akusaidie" kupambana na adui. Ebo !!

Sasa nadhani umeanza kunielewa jinsi gani kama ulivyosema "haingii akilini" yes haiingii akilini wala tundu lingine lolote ati mwanaume ajione anamajukumu SAWA na mwanamke. ati una haki ya "kusaidiwa maisha" na mwanamke Ati wote wanatakiwa kufanya 1,2,3 kwa usawa, aise wanaume wa Dar ni kichefuchefu.

Mwanamke ni mlezi wa watoto na familia ili hali mwanaume ni provide, mfariji, mlinzi, mtetezi na kiongozi wa familia. Right kama hao mashosti wanaovaa madera a.k.a kanzu wangelijua hili wangesimama kidete "kulinda na kuwakinga wanawake na watoto"
 

Marekani yule akiguswa au Urusi hizo kanuni sijui visheria gani huwezi kuvisikia vikitumika.
Vita haina sheria mkuu.
Ûkiona unafuata sheria ujue kuna mkubwa au mbabe wako kakupa muongozo na usipofuata unachezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…