GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Nawe pia Chuki yako Kwangu itakuua.Yanga watakuja kukuuwa wewe..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe pia Chuki yako Kwangu itakuua.Yanga watakuja kukuuwa wewe..!!!
Umeshajiuliza ni kwanini tokea Uandike huu Utumbo wako hapa hujapata hata tu Like Moja?
Hopeless.kama Imenifikia damn fool Mimi Basi wewe ni mwenzangu ndio maana ulichoandika kimenifikia mpuuzi mwenzako
Kwahiyo unataka niache kila Siku kuiandika Yanga SC yako na niwe naandika 'Unavyonukudiwa' ufurahi na uridhike?Sanaa Ana teseka na vitu vya kipumbafu Sana kila siku kutwa kuanzisha Uzi wa kulalamika husda ,wivu ,fitina
Dah hpn aise
Kwamba Wewe ni Mpumbavu na Mwehu?Sahih kbsaaa
Moto wangu wanaujua na ndiyo maana unaona Wameshanikimbia na wanachunguliwa haya Majibu yangu kwa kutumia Multiple ID's zao zilizo maarufu na zoeleka hapa JamiiForums kuliko hizi unazoona Wanazitumia Kujibizana nami.Mkuu, umejiandaa kwa vita lakini?
Nonsense.Hiyo takataka hainisumbui kabisa nitamnawa bila wese[emoji1787][emoji1787]
Nakula Kwako? Pumbavu.
HahahahaaaaaNi mkubwa kiumri sema utapiamlo akiwa mdogo madhara yake tunayoana ukubwani
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Nimesoma Mass Communication na Kubobea katika Print Media and PR nikiwa na Waandishi Nguli kama Rafiki yangu mkubwa na Kaka yangu Marehemu Haonga Lutengano aliyekuwa TBC Senior Journalist na Michael Baruti BBC Producer.Huyu Ni wa 95 live bila chenga Tena kasoma mass communication[emoji1787]
Nani Kakudanganya kuwa Brainiac kama GENTAMYCINE naweza Kukaa na Mpumbavu kama Wewe?Kwelli wanasema usiridhi uadui wa mtu I'll kwa hili wee na popoma no thanks siwez kukah meza Moja na popoma
Cha Moto wanakiona na Watajutia.Haya sasa. Kumekucha, kumekucha!
Huyu jamaa nadhani TCRA, TFF na EFM wameishamlea kwa kiasi cha kutosha. Kinachotakiwa sasa ni wanaSimba kujichukulia sheria mkononi tumtie adabu hadi akili zimrudie huyu umbwa!
Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa 'Airtime' Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara tena akimtaja kabisa kuwa Msemaji wa Yanga SC aliye kifungoni.
Niliwahi kusema hapa hapa kuwa mtangazaji huyu wa hovyo na mwenye Uyanga uliopitiliza na anayetumika vibaya na matajiri wa Yanga SC, wadhamini wao GSM ipo siku atakuja kujikuta pabaya au hata pia kuigharimu kampuni yake yenye chombo hicho husika cha EFM.
Kwa kitendo 'very unprofessional' alichokifanya Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM cha kuweka hewani 'clip' ya Haji Manara (ambaye anajua yuko kifungoni sasa) na amekiri mwenyewe kwa kusema (Msemaji wa Yanga SC aliyekifungoni) ni kuidharau na kuikejeli TFF na pia ni kutaka kuiweka Media ya EFM anayoifanyia kazi kwa sasa.
Nauomba Uongozi wa TFF haraka sana umchukulie hatua kali Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge kwa hiki alichokifanya na sina shaka kuwa amekifanya makusudi kutokana na kutumika kwake vibaya na matajiri wa Yanga SC akina GSM, Uyanga wake na uswahiba wake mkubwa na mnafiki mwenzake (mwenzie) Haji Manara.
Alichokifanya Mtangazaji Maulid Kitenge ni kiburi, dharau na jeuri kwa mamlaka ya soka nchini Tanzania, hivyo achukuliwe hatua haraka ili iwe fundisho kwa watangazaji wengine wapuuzi na 'very Unprofessional' kama yeye na tasnia iheshimike.
Ni Failure Academically na Division Zero yake.Maulid Kitenge ni moja ya vijana tulionao nchini wachumia tumbo. Samjosamjo, mtu wa kuungaunga toka Anasoma O level. GENTAMYCINE
Ukiona hadi Avatar yangu ina Picha ya Former Israel Premier Commando Benjamin BIBI Netanyahu nadhani utaelewa kuwa GENTAMYCINE hakuna wa Kuniweza kwa Vita ya Maneno nami kwani naimudu halafu naipenda vile vile.Kwa mara ya kwanza nashuhudia mtifuano na vurugu apa Jf inasikitisha kwa kweli
Na ni Mpumbavu na Mshamba mno.Mtangazaji Wa Hovyo Hovyo
Huwa nina allergy ya kujibu Maswali ya Kipumbavu yatokayo kwa Mpumbavu aliyeuliza.Kwa kitendo hicho, ambacho inaonesha wazi kimekukera! hata ukashindwa kulivika joho gubu ulilonalo.. tuseme Maulid amevunja sheria ipi ktk adhabu ya Haji.
Kosa aliloadhibiwa Haji, na Kitendo alichofanya maulidi vinahusianaje kisheria..
Je, ni kosa mtu kutumika kwa matajiri wa GSM kwa sababu fulani ama bila sababu yoyote muda wa kuwa mtumikaji havunji sheria yoyote ya Nchi?
Nimeshangaa sana mwanaume(kama kweli ni mwanamume muume basi!!) kuandika Post popoma kama hii..
Wamejamba Mimi sasa Nakunya kabisa.Mkuu, umejiandaa kwa vita lakini?
Una Kicheko cha waliwa 'Nukudi' vipi nawe 'Unanukudiwa' labda?Hahahahaaaaa