Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

Sky Eclat ukiona mpumbavu anakukubali ujue umemzidi🤣🤣. Usikubali hili lijitu likudhalilishe. Au nasema uwongo Asprin?!
Umeshajiuliza ni kwanini tokea Uandike huu Utumbo wako hapa hujapata hata tu Like Moja?

Jibu ni rahisi tu kuwa Umedharaulika na kuonekana ni Mpumbavu wa Kiwango cha Kimataifa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Sanaa Ana teseka na vitu vya kipumbafu Sana kila siku kutwa kuanzisha Uzi wa kulalamika husda ,wivu ,fitina

Dah hpn aise
Kwahiyo unataka niache kila Siku kuiandika Yanga SC yako na niwe naandika 'Unavyonukudiwa' ufurahi na uridhike?
 
Mkuu, umejiandaa kwa vita lakini?
Moto wangu wanaujua na ndiyo maana unaona Wameshanikimbia na wanachunguliwa haya Majibu yangu kwa kutumia Multiple ID's zao zilizo maarufu na zoeleka hapa JamiiForums kuliko hizi unazoona Wanazitumia Kujibizana nami.
 
Huyu Ni wa 95 live bila chenga Tena kasoma mass communication[emoji1787]
Nimesoma Mass Communication na Kubobea katika Print Media and PR nikiwa na Waandishi Nguli kama Rafiki yangu mkubwa na Kaka yangu Marehemu Haonga Lutengano aliyekuwa TBC Senior Journalist na Michael Baruti BBC Producer.

Na katika ngazi ( level ) ya Masters nilisoma ( nimesoma ) na Daily News Chief Editor Nicolaus Ikonko na TBC1 News Anchor ( sasa ni Boss Serikalini ) Rahel Mhando.

Sasa najiandaa kufanya PhD yangu.

Je, una lingine?
 

Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa 'Airtime' Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara tena akimtaja kabisa kuwa Msemaji wa Yanga SC aliye kifungoni.

Niliwahi kusema hapa hapa kuwa mtangazaji huyu wa hovyo na mwenye Uyanga uliopitiliza na anayetumika vibaya na matajiri wa Yanga SC, wadhamini wao GSM ipo siku atakuja kujikuta pabaya au hata pia kuigharimu kampuni yake yenye chombo hicho husika cha EFM.

Kwa kitendo 'very unprofessional' alichokifanya Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM cha kuweka hewani 'clip' ya Haji Manara (ambaye anajua yuko kifungoni sasa) na amekiri mwenyewe kwa kusema (Msemaji wa Yanga SC aliyekifungoni) ni kuidharau na kuikejeli TFF na pia ni kutaka kuiweka Media ya EFM anayoifanyia kazi kwa sasa.

Nauomba Uongozi wa TFF haraka sana umchukulie hatua kali Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge kwa hiki alichokifanya na sina shaka kuwa amekifanya makusudi kutokana na kutumika kwake vibaya na matajiri wa Yanga SC akina GSM, Uyanga wake na uswahiba wake mkubwa na mnafiki mwenzake (mwenzie) Haji Manara.

Alichokifanya Mtangazaji Maulid Kitenge ni kiburi, dharau na jeuri kwa mamlaka ya soka nchini Tanzania, hivyo achukuliwe hatua haraka ili iwe fundisho kwa watangazaji wengine wapuuzi na 'very Unprofessional' kama yeye na tasnia iheshimike.
Huyu jamaa nadhani TCRA, TFF na EFM wameishamlea kwa kiasi cha kutosha. Kinachotakiwa sasa ni wanaSimba kujichukulia sheria mkononi tumtie adabu hadi akili zimrudie huyu umbwa!
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia mtifuano na vurugu apa Jf inasikitisha kwa kweli
Ukiona hadi Avatar yangu ina Picha ya Former Israel Premier Commando Benjamin BIBI Netanyahu nadhani utaelewa kuwa GENTAMYCINE hakuna wa Kuniweza kwa Vita ya Maneno nami kwani naimudu halafu naipenda vile vile.
 
Kwa kitendo hicho, ambacho inaonesha wazi kimekukera! hata ukashindwa kulivika joho gubu ulilonalo.. tuseme Maulid amevunja sheria ipi ktk adhabu ya Haji.
Kosa aliloadhibiwa Haji, na Kitendo alichofanya maulidi vinahusianaje kisheria..
Je, ni kosa mtu kutumika kwa matajiri wa GSM kwa sababu fulani ama bila sababu yoyote muda wa kuwa mtumikaji havunji sheria yoyote ya Nchi?

Nimeshangaa sana mwanaume(kama kweli ni mwanamume muume basi!!) kuandika Post popoma kama hii..
Huwa nina allergy ya kujibu Maswali ya Kipumbavu yatokayo kwa Mpumbavu aliyeuliza.
 
Back
Top Bottom