Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Sitoacha kumpigia kura diamond wangu na sitoacha kumpa sapoti yeyote ile anayostahili kutoka kwangu kama shabiki wa damu.Natambua ni haki yake ya msingi kufanya hivyo na siwezi kumpangia cha kufanya.

Mashabiki wa diamond tupo na tutaendelea kuwepo

Haswa tutaendelea kuwepo

kwenye uzi huu naona wengi wanaomchukiaga kwa maandishi yao humu JF ndio wanapiga pizi haswa ili kuonyesha kuwa amefanya mabaya, wamuache aishi.

Agggh fans wa Diamond ni wengi sikujuaga maana leo wamepata la kumwandika hadi nimefurahi

Chubi yupo juu kama kawa leo ni Chibu Chibu Chibu mitandaoni

Siasa wao wajadili na washabikie chama ikija Diamond eti vibaya

Pesa apewe kwani wao wamepewa hapo sasa mmmhhhh

Kumpigia kura kama kawa tunaendelea
 
Nami nimejiondoa katika upigaji kura kwake na nimejiunnfollow kwenye page zake zote,,,to be honesty sipingani anachokiamini but kweli kakurupuka,,yaan kaingia kwenye siasa kupitia mlango wa nyuma

hahahaha mkuu angalia kama followers wake wamepungua.... hahaha wameongezeka from 944k to 945k hujapunguza kitu!!!!!!!
 
Ujinga ujinga ujinga, kuwa msanii si sababu eti wasi express mawazo yao.

Acha utoto. Real fans hawana mda na mambo ya kishogashoga ka hayo.
 

Umeona eenh!!hao wala sio mashabiki wa diamond,mashabiki wake wa ukweli tupo na wala hatuwezi kumu-unfollow eti kisa anampigia kampeni Magufuri hio haipo.

Piga kura kwa unayemtaka fullstop!kunya anye bata akinya kuku kaharisha?alaaaaaah!!!tena Wasituzingue kabisaa asiyempenda platnumz rukhsa kuanfollow
 

Potelea mbali!!hata kingkiba na yeye ni CCM tu kama hujui,na hata ukimuanfollow bado atazidi kuongeza followers na yake yatamuendea kama kawaaa!!punguza jazba mkuu hizi ni siasa tu
 

Kwani wasanii wanaoisupport Ukawa hawana funs waliopo CCM? , mbona mnaanza kuingilia uhuru wa watu?, funs wa msanii wanavutwa na kazi zake na si chama, ukiona kakukwaza uamuzi unao mwenyewe, kwani hapo pia yupo kikazi zaidi kukitumikia chama, msubirini 2025
 

Wala sio rushwa ! Ni pesa ya hali kabisa hasa ukizingatia aina ya kazi yake anyoifanya.
 
Kwanza huyu pimbi ni hater ambaye tupo nae hapa daily? Hyo ni id fake. Akahareee mbeleee,

Kabisaaaa!!wacha diamond na wasanii wengine wachague Magufuri na wengine Lowassa ruksaaa kwa sababu ni haki yao kikatiba

Mimi siwezi kumchukia mtu sababu nina maamuzi yangu ninayoyaona yanafaa na siwezi kubadili kwa sababu ya diamond au Wolpar.
 
Hata obama alisapotiwa na takribani wanamuziki wote wa America so sioni ajabu diamond kumpigia debe Mh J.P Maguu Full.Uhuru wa kuamua jambo pasipo kuvunja sheria lazima uzingatiwe.Lakini kumbukeni kuwa Diamon Platz hajaanza leo kutumika na ccm katika shughuli za kichama kwa hiyo kikubwa nikumsapoti kama mwanasanaa lakini asitupotoshe katika msimamo wetu wa kumchagua tumtakae..
 
Wengi wana njaa so hata ukawa wanaweza kuwanunua tatizo kununua ni tabia ya mccm..
 

Acha mwenzako atumie fulsa,isitoshe kianzia November watz hatutakuwa na muda tena Wa kuongelea uchaguzi,so acha dogo apige hela
 

Sasa hiyo kura moja ya Diamond itabadilisha nini? Kwani yeye ana kura ya veto? Mbona Oprah alimpa support Obama, ndo kusema republicans waliacha kuangalia show zake?

#wamuache mtoto wa mwenzao.
 
Sasa hiyo kura moja ya Diamond itabadilisha nini? Kwani yeye ana kura ya veto? Mbona Oprah alimpa support Obama, ndo kusema republicans waliacha kuangalia show zake?

#wamuache mtoto wa mwenzao.

Shangaa mwenzngu!?yaani Wanataka kutuaminisha kwamba Magufuri atapita kwasababu diamond amempigia kura?!au Ngoyai atashindwa kwasababu ya Diamond!?chefuuuuuu

Huyo wanayemchukia ndio kwanza followers wanaongezeka huko Instagram
@#HapaKaziTu
 

Exactly!!!kama unaakili timamu wala hawezi kukupotosha Diamond!utafanya kilicho sahihi kwako fullstop!!!!
 
Eti kuna watu walikuwa wanasema iweje awe ICON wa taifa haya ndo majibu, mitandao na magazeti yote pamoja na radio na tv zote habari ni kwann DIAMOND kaonyesha mapenzi yake kwa CCM wakina Profesa jay,Afande Sele,Sugu na Wolper na wengine wengi hawaonekani ila kwanini hafanye DIAMOND??????
 
Nchi hii ilikuwa huru tangu mwaka 1961, kila mtu ana uhuru wa kuchagua kwa sababu zake, kila mtu ana utashi wake, Tatizo mashabiki wengi huwa hamjui mnamshabikia mtu kwasababu gani! Ndio maana mnafikia hatua za kuwapangia wenzenu maisha, UKAWA wako supported na Jacqueline wolper, Aunt Ezekieli, Roma, Kala, Sugu, Joseph Haule. Mbona sijaona mkianzisha thread ya kuwashauri wasioneshe hisia zao kwani watatugawa mashabiki zao? And Why always Diamond? ?? Acheni justification za kipuuzi zinazosababishwa na kutokujiamini kwenu, fanyeni kampeni zenu waacheni na wenzenu wafanye zao.

Kumbukeni ushabiki una mipaka yake unless wewe ni division 6.1 ndio maana hujui mipaka yako katika kushabikia jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…