Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Maamuzi ni ya mtu binafsi haijalishi kazi yake so let him follw his wishes
 
Diamond alitakiwa kuwa tajiri zaid ya hata akina Kcee Iyanya ila kutokana na serikali yakizembe ya Ccm anaona kafiiika" aaagh kazingua msanii mkubwa kama yy kupost vile ni dhahiri kuna kitu either angestay neutral tu asiwagawe fans wake.
 
Tatizo linakuja pale unapotaka fikra zako ziwe kwa watu WOTE, mtu alitoa mtazamo wake wake tofauti unaanza kusema itamgarimu kwani lowasa ndo alileta mafanikio ya diamond mpaka hapo alipo?

Kaka umeungea point sana.
Haya mambo ya siasa za lowasa , zimewafanya watu km sijui nini.
 

Naomba kuuliza. Kwani ukawa ndio utakuwa unampangia ratiba za show zake na tour za nje ya nchi?
Chibu kipaji chake kimeshaonekana kimataifa hata aje raisi kutoka wapi hata athirika chochote , sbb kazi zake ni kwa juhudi zake binafsi
 
Sitoacha kumpigia kura diamond wangu na sitoacha kumpa sapoti yeyote ile anayostahili kutoka kwangu kama shabiki wa damu.Natambua ni haki yake ya msingi kufanya hivyo na siwezi kumpangia cha kufanya.

Mashabiki wa diamond tupo na tutaendelea kuwepo

Viva diamond
 

Shida sana mkuu.
Hawapati usingizi wakisikia diamond. Wamuache apumue miaka 100.
Wakawaambie na kina sugu, jay, wolper na wengineo waache kuonyesha mapenzi na misimamo yao ya wazi kwa ukawa ndo waje kwa dai.
Dai fanya yako. Wewe ni level nyingine kabisaa
 
Baada ya kujibu hoja. Unakimbilia kutukana watu.. Kama wew ungekua na akili ungenipinga kwa hoja..kwa jinsi ulivyojibu ni wazi kuwa wew ndo huna akili.. Una akili ya kubadilisha pedi tu..

Hahahaaa. Umenikosha
 

Si nyie ndo mlisema hakunaga adui wala rafiki wa kudumu? Au?
Hayo maswali kamuulize lowasa. Maana alimsifia jk akiwa ccm, ameenda ukawa anamponda, ikitokea na ukawa akakosa urais tutegemee nini kwenye mdomo wake?
Wakati mwingine mfikirie kutumia brain
 
Diamond alitakiwa kuwa tajiri zaid ya hata akina Kcee Iyanya ila kutokana na serikali yakizembe ya Ccm anaona kafiiika" aaagh kazingua msanii mkubwa kama yy kupost vile ni dhahiri kuna kitu either angestay neutral tu asiwagawe fans wake.

busara yako umeipeleka wapi? Kama wewe DIAMOND anaweza akayumbisha msimamo wako kisa tu kaamua chamgua upande wake tena KIDEMOCRASIA ni ujinga mkubwa.
 

Unamix mambo sana, kwanza kwa nini unataka kumchagulia ? Ni mtanzania ana haki ya kufanya maamuzi yake kama yeye binafsi, usichanganye kazi yake na utashi wake wa kisiasa mtu akiwa tofauti na wewe kifikra hususani katika siasa haimaanishi umchukie ametoa mtazamo wake na si lazima ufanane na wako, hao unaosema 90% wao wanamlengo wao na hawapaswi kubezwa na sidhani kama kuna mtu kawaamulia kufanya hayo maamuzi, ninakuimagine kwa mtizamo wako kama wewe ni baba wa familia mtoto akuwa shabiki wa chama usichokitaka utamnyima ugali kabisa ..be + mpigie kura kwenye category zote Utanzania kwanza ....usijenge chuki kwa hoja za kisiasa kama unaona hayuko sahihi mchape kwa hoja kisha mshawishi kwa nn unaona hayuko sahihi na si vinginevyo.
 
Hawa wasanii njaa sana hawajielewi kbs watu wanadhurumiwa kazi zao na serikali leo hii wamepewa pesa wanawasapoti wanasiasa hawa vipi hawa

alafu wakija kitaa ooh kazi zetu hazina hati miliki mapato hamna mara oo silikali sjwi nn povu kama la foma safali iitunawatoa baruu tu
 

Hofu ni kwanini hiyo support itokee right after kale kaparty ka m.city na yule jamaa wa safara za mamtoni a.k.a mamtonimaniac
 
Wakati Marlow Anatamba diamond alikuwa underground ......Marlow analaumu Siku alipoamua kuimba siasa .......,na Kibaya waliomtumia hawamkumbuki
 

Aisee. Sijamchagulia mtu kiongozi, Yes Diamond ana haki ya kumshabikia mtu yoyote.
Ninachocritisize ni kwamba, kwa nature ya kazi yake inahitaji washabiki zaidi. Angeepuka kuwagawa washabiki wake kwa ishu za kisiasa. Yeye kuwa na mgombea anayempenda sio tatizo. Tatizo alivyoexpose based on the nature of his business.
 
nilishasema huyu mtoto mdomo utamponza wat wakanituna weeee .....ipo sku yake amuangalie mr nice yupo wapi sahizi
Na Mimi nilikuwa nampa shavu sana humu ndani lakini amenionyesha kwamba yeye ni dizaini zilezile za wasanii wajingajinga.

Kwanzia Leo wala sitomtetea humu maana hajielewi.[emoji16] [emoji16]
 
Na Mimi nilikuwa nampa shavu sana humu ndani lakini amenionyesha kwamba yeye ni dizaini zilezile za wasanii wajingajinga.

Kwanzia Leo wala sitomtetea humu maana hajielewi.[emoji16] [emoji16]

mpe sapoti yako wala usiache as long as makavu mmshampa, acha maisha mengne yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…