BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
busara yako umeipeleka wapi? Kama wewe DIAMOND anaweza akayumbisha msimamo wako kisa tu kaamua chamgua upande wake tena KIDEMOCRASIA ni ujinga mkubwa.
Na Mimi nilikuwa nampa shavu sana humu ndani lakini amenionyesha kwamba yeye ni dizaini zilezile za wasanii wajingajinga.
Kwanzia Leo wala sitomtetea humu maana hajielewi.[emoji16] [emoji16]
Unaposema Diamond kwamba kakosea kumshabikia Magufuli basi unakuwa hujui vinzuri historia ya Diamond. Hao watu watakaomchukia sasa eti kisa anamshabikia Magufuli basi walipaswa waanze kumchukia tangu alipokuwa akisaidiwa na serikali ya CCM.
Diamond ndiye msanii aliyefaidika kwa kiasi kikubwa na uongozi wa Rais Kikwete katika maisha yake ya kimuziki. Mheshimiwa Rais na serikali yake wamekuwa msaada mkubwa sana kwa Diamond. Katika mahojiano na baadhi ya vipindi vya media mfano XXL - Clouds, EFM, Sporah show, na magazeti Diamond amekuwa akieleza wazi kuwa rais JMK amekuwa akimpigia simu mara kwa mara ili kumtia moyo katika kazi zake. Hata JK kwenye hotuba ya kuvunja Bunge hakusita kumtaja Diamond.
Sasa tunapomuona Diamond anakosea, tunapaswa kwanza tujiulize, je huyo mnayemuona anafaa aliwahi kumsaidia kitu gani Diamond katika safari yake ya muziki? Diamond amepata tuzo nyingi tu, je alishawahi hata kumpa hongera kwa tuzo? Au mahaba yenu kwa Lowassa ndiyo mnataka yamuendeshe Diamond katika maisha yake?
Tuache kuingilia uhuru wa watu. Diamond ana kila sababu ya kumshabikia Magufuli na chama chake. Hawa watu wamekuwa msaada mkubwa sana kwa Diamond. Binafsi sijawahi kuona chama chochote cha upinzani kikitoa hata pongezi za kinafiki kwa Diamond. Leo mnataka Diamond aushabikie upinzani, kwa lipi hasa walilomsaidia?
Kama kura za tunzo zinatolewa kwa ushabiki wa vyama basi waache na wasimpigie kabisa. Hii nchi ina watu wa kinafiki sana, eti mnaacha kumpigia kura kisa anamshabikia Magufuli, so what? Ndio maana watu wengi tunaogopa kuchagua upinzani kwa sababu ya visasi vya kijinga kama hivi kwa watu wasiokuwa wafuasi wao. Siasa za chuki namna hii hazitatufikisha popote. Diamond hawezi kushuka kisanii eti kisa watu wa upinzani hawatampigia kura kwenye tunzo. Haitatokea, na kamwe haitaweza kutokea kila mtu ashabikie upinzani, never.
Yaani ametuudhi sana sisi mashabiki wake Mara kumi angebaki kimya.Mkuu mm mpaka nawish zile kura zng nilizompigia afrimma ningeacha tu" nimemshusha sana mondi, Mtu kashatengeneza brand yake kubwa thn anakua cheap kutumika na wanasiasa utafikiri anatafuta shavu lakua mkuu wa wilaya bwana.
Albert mangwea aliimba wimbo CCM leo yuko wapi???
Dogo anaanza kuniboa sasa hadi Mimi .
Bora angenyamaza kimya .
Huu ujinga aliopost utamgharimu sana .
Nimekuuwa disappointed sana.
#bilaunafikidiamondumeniboasana .
Fanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!
Fanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!
Kujaza foleni sio indicators za development huduma muhimu ka shule afya hospitali hazina dawa wanawake wanajifungulia chino,shule watoto wanakaa chini pamoja na misitu iliyopo nusu nchi.Fanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!
Baada ya uchaguzi utarudi tuu...
Diamond nae ni mtanzania, ana haki kikatiba, kidemokrasia kushabikia chama chochote akitakacho.
Ushabiki ni kushabikia muziki wake, misimamo yake ya kisiasa mwachie mwenyewe....
#team dangote
Fanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!