Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Yan simpigii tena kura huko kwenye Awards!!!!!!!!! Bora angekua netral kuliko kujionyesha waz waz wakat anajua mashabik wake wako vyama tofaut tofaut
 
Ungepiga kazi zako mwenzako analipwa ujue.. mwisho wa cku ana mpunga wake mreeefu, Siasa barabara tu gari zinapita zenyewe piga kazi .Mungu c mchoyo.
 
huwa inafikia extent,mtu unapata mtazamo juu ya baadhi ya hawa waitwao celebritz wa bongo,wengne washakuwa kama jingaz hadi kufikia hatua ya kupost sura za wagombea kutoka upande was manjaro bila kujua ni kwajinsi wanaupotosha uma unaohitaji mabadiliko...?!
 
Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka? Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM. CCM tumewachoka! Cc heaven on desert, TeamLowassa
Kuna tuhuma kutoka kwa Planet kuwa we ni kichaa,ni vyema kama ukihucka nazo kabla hazijafika jukwaa la siasa..?!
 
mmmh leo umeongea point... natamani ubakie na msimamo huo huo mpaka oct 25!!!
 
Kumchukia kwako ww unampungzia nn? Hoja zako zakipuuzi sana fanya yako, hii ni Tanzania kila mtu anauhuru wake.
Uko sahihi kwamba kila mtu anauhuru wake,japo tunatofautiana upeo ktk namna ya kulichukulia jambo fulani na ndipohuwa hatuna budi kutoa Huduma ya kwanza kwa ambao fikra zao ziko nusu mlingoti na kama we uko Ivyo,a feel sor for you body
 
bora umemsaidia asipokuelewa atakua na kichwa cha ponoo
 
Amefanya hivyo kuhakikisha mwanae,mama watoto na mama mzazi waendelea kula na kuishi vizuri

Hizi nchi zetu za kiafrika kama wewe ni msanii lazima uende na chama dola amasovyo utakuwa purged

Mi namsifu daimond kwa kuchukua a pragmatic approach.
 
Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..

Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.

Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.

Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?

Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.

CCM tumewachoka!

Cc heaven on desert, TeamLowassa

mmmmmmh!!??? makubwaa mi nilijuaga unampendea mziki wake, kaaazi kweli kweli, ila viongozi hawa ambao asilimia 90 ya maneno yao ni kuponda opposing party na kujimwagiwa sifa wao? sioni mabadiliko neither side, yaani hawana tofauti na team kiba au team diamond, vile ambavyo team diamond hawawezi msifia diamond bila kumponda kiba and v/s ndivyo hivyo ukawa wakisimama kuongea popote kazi yao kubwa ni kuiponda ccm, na kujisifia wao ccm nao na ukongwe wao wooote wakisisima ni kuuponda ukawa na kujisifia wao, none of them are hardly focus on kuongea kero matatizo ya wananchi and give possible solutuons. wakigusia ni kwa juu juu sanaaaaa.
 
Kumchukia kwako ww unampungzia nn? Hoja zako zakipuuzi sana fanya yako, hii ni Tanzania kila mtu anauhuru wake.
Uko sahihi kwamba kila mtu anauhuru wake,japo tunatofautiana upeo ktk namna ya kulichukulia jambo fulani na ndipohuwa hatuna budi kutoa Huduma ya kwanza kwa ambao fikra zao ziko nusu mlingoti na kama we uko Ivyo,a feel sor for you body
 
mmmmmmh!!??? makubwaa mi nilijuaga unampendea mziki wake, kaaazi kweli kweli, ila viongozi hawa ambao asilimia 90 ya maneno yao ni kuponda opposing party na kujimwagiwa sifa wao? sioni mabadiliko neither side, yaani hawana tofauti na team kiba au team diamond, vile ambavyo team diamond hawawezi msifia diamond bila kumponda kiba and v/s ndivyo hivyo ukawa wakisimama kuongea popote kazi yao kubwa ni kuiponda ccm, na kujisifia wao ccm nao na ukongwe wao wooote wakisisima ni kuuponda ukawa na kujisifia wao, none of them are hardly focus on kuongea kero matatizo ya wananchi and give possible solutuons. wakigusia ni kwa juu juu sanaaaaa.

Ni HIV ccm imeshindwa kutekeleza ahadi wanazoahidi,wao wakiumwa wanaenda tibiwa US sisi hospital hakuna madawa,vifaa nadhan unaelewa kila kitu msijifanye vipofu kwa muda mfupi jamani ,Diamond alitakiwa awe neutral sio kutushawishi eti tuchague ccm ,ndio hivyo keshanitokaa
 
Amefanya hivyo kuhakikisha mwanae,mama watoto na mama mzazi waendelea kula na kuishi vizuri

Hizi nchi zetu za kiafrika kama wewe ni msanii lazima uende na chama dola amasovyo utakuwa purged

Mi namsifu daimond kwa kuchukua a pragmatic approach.

ndio hapo sasa anatugawa mashabiki
 
Fanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!
Naona sasa MZEE RAZA,umeingia cha kike mana post ako imegeuzwa uwanja wa baikoko dizain kama watu hawajaielewa iv ,waweza tengua kama vip
 
Back
Top Bottom