Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hahahaha..nilijua tu iko siku utaingia akili..njoo huku basi
nije wapi sasa,halaf wewe muone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha..nilijua tu iko siku utaingia akili..njoo huku basi
So kwamba Chibu hafungamani na upande wowote,na yuko after moneey,habari unaayoteam Chibuuuulkn kwa hili hapana niko team Lowasa
Kuna tuhuma kutoka kwa Planet kuwa we ni kichaa,ni vyema kama ukihucka nazo kabla hazijafika jukwaa la siasa..?!Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka? Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM. CCM tumewachoka! Cc heaven on desert, TeamLowassa
Kumchukia kwako ww unampungzia nn? Hoja zako zakipuuzi sana fanya yako, hii ni Tanzania kila mtu anauhuru wake.
We kichaa kweli wewe
Uko sahihi kwamba kila mtu anauhuru wake,japo tunatofautiana upeo ktk namna ya kulichukulia jambo fulani na ndipohuwa hatuna budi kutoa Huduma ya kwanza kwa ambao fikra zao ziko nusu mlingoti na kama we uko Ivyo,a feel sor for you bodyKumchukia kwako ww unampungzia nn? Hoja zako zakipuuzi sana fanya yako, hii ni Tanzania kila mtu anauhuru wake.
mmmh leo umeongea point... natamani ubakie na msimamo huo huo mpaka oct 25!!!
Uko sahihi kwamba kila mtu anauhuru wake,japo tunatofautiana upeo ktk namna ya kulichukulia jambo fulani na ndipohuwa hatuna budi kutoa Huduma ya kwanza kwa ambao fikra zao ziko nusu mlingoti na kama we uko Ivyo,a feel sor for you body
Kuna tuhuma kutoka kwa Planet kuwa we ni kichaa,ni vyema kama ukihucka nazo kabla hazijafika jukwaa la siasa..?!
Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..
Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.
Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.
Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?
Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.
CCM tumewachoka!
Cc heaven on desert, TeamLowassa
Uko sahihi kwamba kila mtu anauhuru wake,japo tunatofautiana upeo ktk namna ya kulichukulia jambo fulani na ndipohuwa hatuna budi kutoa Huduma ya kwanza kwa ambao fikra zao ziko nusu mlingoti na kama we uko Ivyo,a feel sor for you bodyKumchukia kwako ww unampungzia nn? Hoja zako zakipuuzi sana fanya yako, hii ni Tanzania kila mtu anauhuru wake.
mmmmmmh!!??? makubwaa mi nilijuaga unampendea mziki wake, kaaazi kweli kweli, ila viongozi hawa ambao asilimia 90 ya maneno yao ni kuponda opposing party na kujimwagiwa sifa wao? sioni mabadiliko neither side, yaani hawana tofauti na team kiba au team diamond, vile ambavyo team diamond hawawezi msifia diamond bila kumponda kiba and v/s ndivyo hivyo ukawa wakisimama kuongea popote kazi yao kubwa ni kuiponda ccm, na kujisifia wao ccm nao na ukongwe wao wooote wakisisima ni kuuponda ukawa na kujisifia wao, none of them are hardly focus on kuongea kero matatizo ya wananchi and give possible solutuons. wakigusia ni kwa juu juu sanaaaaa.
Amefanya hivyo kuhakikisha mwanae,mama watoto na mama mzazi waendelea kula na kuishi vizuri
Hizi nchi zetu za kiafrika kama wewe ni msanii lazima uende na chama dola amasovyo utakuwa purged
Mi namsifu daimond kwa kuchukua a pragmatic approach.
Naona sasa MZEE RAZA,umeingia cha kike mana post ako imegeuzwa uwanja wa baikoko dizain kama watu hawajaielewa iv ,waweza tengua kama vipFanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!