Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Jamaa anazingua sana huyu. Ndio matatizo ya kuwapa vijana wadogo nafasi kubwa. He was born in 1985. The throne is too much bigger for him
Mkuu huyo MbS hakuna aliempa madaraka bali amejitwalia mwenyewe kwa kuwa baba yake ni kipenzi chake na alipoingia tu na kuona baba yake mdogo ndio next to the throne akamkamata na kumuweka kizuizini nyumbani na yeye kujipa mamlaka hayo

Baba yake yuko hoi kitandani
Kumbuka aliwaweka jela ya Hotel ya Ritz ndugu zake na uncle zake wengi zaidi ya 100
Aliwapa kesi ya ubadhirifu wa mali ya Umma na kujilimbikizia hela
Humo wengi ni princes
Aliwaambia anaetaka kutoka atoe $1b bila hivyo atalala hotel na kuhudumiwa kwa heshima zote ila hataiona familia yake

Walikaa sana ila walitoa hela zote
Kwa kawaida yao wana tabia ya kuviziana na sasa familia imekuwa kubwa ma princes wamekuwa wengi sana
Ipo siku atakula shaba wanamlia timing tu ingawa anachungwa lakini atakaemuuwa atakuja kuwa wa karibu sana hata awe kaka yake
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
Tafuta kiporo ule ulale
 
Jamaa anazingua sana huyu. Ndio matatizo ya kuwapa vijana wadogo nafasi kubwa. He was born in 1985. The throne is too much bigger for him
Ni bwege tu wala sio sababu ya umri
Kina Mehmet the conqueror waliongoza ottoman wakiwa na miaka 21 , a vast empire by that time
Sasa huyu bwege wenu nchi moja tu inamshinda, hata angekua na miaka 50 bado asingekua na tofauti
 
Wewe msukuma wa bariadi ndanindani unajuaje kuwa nchi imemshinda MBS?

Nchi anaongoza kwa matakwa yao wao wasaudia sisi ninyi wamatumbi wa Tanganyika
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
Nchi ni ya kwao, na watakaohudhuria show ni wasaudia huko, wewe mtanzania wa makete yanakuhusu nn
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
MBS anaifungua nchi taratibu
 
Salman alimuua Kashoghi nini cha ajabu
 
Ameona Saudia ikiendelea kuendeshwa kidini kama miaka ya mtume itaachwa nyuma kimaendeleo. Amezoom Dubai,Qatar, Abu Dhabi anaona vumbi tu,more than 60% ya wasaudia ni vijana under the age of 25.

Huwezi ukatawala kundi kubwa hivi la kisasa kwa Draconian religious laws,wape kazi,Uhuru wa kustarehe watakavyo na hawataisumbua serikali. Japo Islam ni political movement pia ila mwamba ameamua aitenganishe na serikali, Imani na dini ni Jambo la mtu binafsi.

Raia wa Saud Arabia ambaye hatavutiwa kwenda kwenye show ya 50 Cent hatanunua ticket kwenda kumuona,mnyakyusa mwenzangu wa kyela kitakuuma kitu gani?
 
Back
Top Bottom