Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mpaka anaalikwa ina maana ana mashabiki. Afukuze na mashabiki wote.
Tatzo mnaichukulia Saudi kama taifa takatifu wakati wenzenu on ground wanaishi kawaida na kuponda raha za dunia.
Ni sawa na baadhi ya wakristo kuiona Israel ni taifa la Mungu wakati on groubd mambo ni tofauti.
MSIJIPE UMUHIMU KWENYE MAISHA YA WATU.