Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Ameona Saudia ikiendelea kuendeshwa kidini kama miaka ya mtume itaachwa nyuma kimaendeleo. Amezoom Dubai,Qatar, Abu Dhabi anaona vumbi tu,more than 60% ya wasaudia ni vijana under the age of 25.

Huwezi ukatawala kundi kubwa hivi la kisasa kwa Draconian religious laws,wape kazi,Uhuru wa kustarehe watakavyo na hawataisumbua serikali. Japo Islam ni political movement pia ila mwamba ameamua aitenganishe na serikali, Imani na dini ni Jambo la mtu binafsi.

Raia wa Saud Arabia ambaye hatavutiwa kwenda kwenye show ya 50 Cent hatanunua ticket kwenda kumuona,mnyakyusa mwenzangu wa kyela kitakuuma kitu gani?
Homeboy [emoji23][emoji23]
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.

Akili za kukaririshwa za kibongo, these people are beyond your poor minded beliefs, thinking about economic growth after the performance, after all Arabic nations are moving out to a complete secularism in no time. Kalagabhaho
 
Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?

Seriously!!!

A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?

Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.

A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
Kule wanajua kuna maisha baada ya Mafuta,,,, na hayo maisha hayahitaji uislamu... yanahitaji Kufungua uchumi wao ualign na nchi nyingine za kibiashara kuonyesha kwamba wako open, tourist attraction na hizo entertainment kwamba kwao inawezakana.
 
Back
Top Bottom