Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Saudi Arabia wanakata watu vichwa kila siku. Huyo MBS alituma watu wakamuue Jamal Khashoggi. Sasa anayeimba kuua na anayeua yupi ana afadhali?Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?
Seriously!!!
A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?
Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.
A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
By the way, Mohammed Bin Salman is not the King, his father is ...Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?
Seriously!!!
A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?
Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.
A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
Mwanasalman yuke bi Agent wa US kama ulikuwa hujui na Familia yake inaendelea kuongoza Saudia kwa Uwezo na Nguvu za US.Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?
Seriously!!!
A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?
Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.
A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.
Kuna watu wanatukuza Sana Saudi nadhani ni sababu ya kale kaujinga ka Udini.Saudi Arabia wanakata watu vichwa kila siku. Huyo MBS alituma watu wakamuue Jamal Khashoggi. Sasa anayeimba kuua na anayeua yupi ana afadhali?
Nilidhan ww ni shabiki wa MBS, au leo umejipinga?Hakuna "King Mohamed" Saudi Arabia.
Kwa ufupi uongozi wa Saudi Arabia ni wanafik wa kwanza. Hao ni mazayuni
Kwa mujibu wa Tawala zao automatically mwanaye ni King by ProxyBy the way, Mohammed Bin Salman is not the King, his father is ...
Kweli Bi Faiza ungepinga na hili ningekushangaa na ningekuweka kwenye kundi lile unaloita wanaenda shule kupilia Ujinga.Hakuna "King Mohamed" Saudi Arabia.
Kwa ufupi uongozi wa Saudi Arabia ni wanafik wa kwanza. Hao ni mazayuni
Unawashangaa mazayuni kuwa mashoga?Kweli Bi Faiza ungepinga na hili ningekushangaa na ningekuweka kwenye kundi lile unaloita wanaenda shule kupilia Ujinga.
Kwa Sasa Middle East iko kwenye transformation ya Umagharibi.......Walianza na UAE.
Mdogo mdogo watafika tu.
Kwa hiyo na hao Mazayuni wa Saudia pia ni Mashoga?Unawashangaa mazayuni kuwa mashoga?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna "King Mohamed" Saudi Arabia.
Kwa ufupi uongozi wa Saudi Arabia ni wanafik wa kwanza. Hao ni mazayuni
Sasa Saudia huko si ndo wanaufaham uislamu kuliko? We unaufaham kuliko alikozaliwa mtume? Sisi weusi watu wa kujipendekeza mpaka kupitiliza. Kama wao wameona sawa na ndo waanzilishi wa dini halafu tu kanjanja mmoja wa huku Nanjilinji anakosoa inaonesha bongo zetu haziko sawa.Usichanganye Mtume na hao nadhalim mazayuni, kama huuelewi ukweli ni heri uulize.
Unafiki wao ni upi?Hakuna "King Mohamed" Saudi Arabia.
Kwa ufupi uongozi wa Saudi Arabia ni wanafik wa kwanza. Hao ni mazayuni
Hapana tunawashangaa na wapemba nao kuwa mashogaUnawashangaa mazayuni kuwa mashoga?
Kenya ni saudia?Msipangie watu maisha, kama 50 cent anaweza perform Kenya kwanini asiperfom Saudi Arabia?
Yamekuwa haya tena?Hakuna "King Mohamed" Saudi Arabia.
Kwa ufupi uongozi wa Saudi Arabia ni wanafik wa kwanza. Hao ni mazayuni
USilolijuwa ni usiku wa kiza.Yamekuwa haya tena?
Hakuna "King Mohamed" Saudi Arabia.
Kwa ufupi uongozi wa Saudi Arabia ni wanafik wa kwanza. Hao ni mazayuni
Ndugu zangu ni Waislam, haijalishi anatokea wapi.Naona leo unaanza kukana ndugu zako